Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Keep your money
Jaman kwaanaye weza kunielekeza kudepost xbet kupitia bitcon 10000 ipo ya chai

Video
 
Dah kuna mtu nimemsukia mkeka wa tennis kazini umetoa 4k kwa buku mm nimesuka wangu mtu mmoja kachan tena wangu odds sio nying 150 nlikuw na shid ya 1.6m yy nliotengenez wake odds400 imetoa kwel bet haina ufundi, kesho sijui atanipa msingi yan wiki nzima sijapata hela napotez tu
 
[emoji1313]
 
Mwambie akupe commission
 
Wazee wa First Half Over 1.5 in play

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Hii over 2.5 ni kwa set mkuu..?
Wakuu wa tennis tudeal ATP CHALLENGE over 2.5 inatoa san kwa hawa wakubwa ukiwapatia watatu odds 10 unazo au over 20.5 lkn bor 2.5 ina odds nyingi cz weng wanafika set 3 ni hayo maoni yangu [emoji1317]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…