Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ningejua ningemua stars mapema kabisa

Japo game haijaisha ila hachomoki

Gunien alikuwa na odd 6.02 aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
M

Mkuu unaweza nipa maelezo ya ku deposit kupitia njia hiyo. Maana nakwama kwenye kutuma hela baada ya ku request kutoka kwenye akaunti ya 1xbet or 22bet.

Naomba maelezo ya hatua ya kufuata kwenye kutuma hela kwa kadi ahsante
Unakwama haswa sehemu gani, mzee? Be specific stage
 
Odds 100 hapo unaweka pesa yote,kiwanja,nyumba,unawaweka na waGuinea πŸ˜…

It's furahi day!!

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji855] kama mkamaria mzoefuu hii game niilichimba vyemaa na ipasavyo

Ila nachojua AFRICA IS ONE matokeo ni Yale Yale tuu kama mech nyngne(pressure games)

So NIMELOOSE

STAKE; Elfu 4000 Expect won ilkuw Elfu 20000

[emoji23]ulifkr nimewek stake ya 40000 hata hyo buku 4000 ilkuw ubadget so sijaloose ktu
 
Hebu amka kwanza usije ukajikojolea [emoji23][emoji23][emoji23]
Unacheka kiushabiki au mkamaria mwenzio nime loose game???

Kama unacheka kiushabiki bas mwenyew mtz najivnia taifa langu limechomoa [emoji23][emoji23][emoji23]

Na kama unanicheka as mkamaria mwenzio nimeloose stake [emoji855][emoji855] hatuko ivo jirekbshee ungkuja kuniulza why,??? Nimeamua kumpa Away Win may be ingekup experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…