Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

usa vs canada usiku wa maneno hiyo noumer maana mech ya awal usa alikula kichapo na akiloose hiyo ndiyo basi tena unasemaje hapo mkuu nitupie mzigo au manyoya na vimechi viwili au kimoja vya brazili huko vipo around saa saba usiku hivi navyo si vibaya sana kuwekeza
 
Odds za usiku wamanane tukutane sa 23:30
 


Hebu acha kutokwa povu kwenye mambo ya kijinga!!!

Screenshot yako ya kwanza haijaonesha kama umebet!!!umetuma screenshot ya lineup ukiambatanisha na maneno uliyoandika tu!!mimi nimekuja kujibu ulichoandika!hayo masuala ya ulibet 4000 mimi siyajui

Sikujibu tena mana unaonekana una stress!!!
 
[emoji23]sijutiiii ila najipongza at least 60% of my thinking capacity to the game its works
Wakamaria wa kibongo tuna husda na inda yaan mtu ukimla kanji ukashare hapa kutuinspire tunaoliwa daily wachaw humu wanajiuliza kekofanicha ataliwa lini na siku ukiliwa tu wanga wenyewe wanajitokeza
 
Kabisaaa!!! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

[emoji23]afu wakitegmea nimeloose pakubwa wanakuta buku4, timu yenyew iloshinda taifa langu sasa naskitika nini
Wakamaria wa kibongo tuna husda na inda yaan mtu ukimla kanji ukashare hapa kutuinspire tunaoliwa daily wachaw humu wanajiuliza kekofanicha ataliwa lini na siku ukiliwa tu wanga wenyewe wanajitokeza
 
BOOOOOOOM!!!! kama ulitemblea nyota sasa HV tutakuwa tunacheka wotee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naomba match ya England ikamilk FT tuu msubiri screenshot za malipo tuheshimiane kbsaa
 
ARMENIA 0 VS GREEK 1 FT
(OVER 1.5[emoji735][emoji735][emoji735])

DON'T SAY I DDNT WARN YOU!!!

[emoji855]imeisha hiyoo
 
[emoji120]am sorry
 
[emoji120]sawa mkuu samahani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…