kwanini umpe guinea wakati inacheza na taifa lako kama si uchawi ni nini
Rejea hapoTumen boom
Ushadandia tren kwa mbele[emoji23][emoji23]
Kwa taarifa ako Leo nimeingiza laki 192000
Rejea hapo
[emoji116]Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]BOOOOOOOOOOOOOOOOOOOM!!
MAPEMAAA KABISAAA AFU KIULAIIIIINIIIIIIIII
Kwanza; unaweza jiuliza why?? Leo sijatupia BOOM! za live(in play) betting, NA ukiangalia my previous screenshot utagundua kuna mikeka miwili ilikuw undecided bado
Jibu, sio kwamba nilikuwa sijabet nilikuw
nabeti na ile buku 9890 nlowin my last stake
nkweka humu Leo asubuh ilienda mpka Elfu
40000(nakumbuka nimeamka na buku 6800
hiv ya matches za usiku kuamkia Leo)
;
So Why nilikuw COOL????[emoji856]
Nilikuwa cool cause ya stake kubwa kubwa nlozokuwa nimeziweka naona zinaleta pesa kiulainii, so pressure ya live betting nkaona Leo nipumzike, kuna mda nilienda
chimbo kuchimbua odds za tips nije niwape
aisee[emoji23][emoji23] yani ndo nikastuka Leo NO LIVE BETTING kbsaa ikabidi nijikope laki moja 100000 niongezee nyama kwenye stake ntakazoweka
[emoji116][emoji116]
My 1st STAKE:
Amount; Elfu 30000 Won Elfu 70200
[emoji117]faida Elfu 40200
My 2nd STAKE:
Amount; Laki 154800 Won Laki 256813
[emoji117]Faida;Laki 102013
(Na huu mkeka niliushare kabisaa)
[emoji117]usisahau hiyo Elfu 54800 yote ni faida previous live betting ambz nimechza
[emoji666]Narudisha laki nlojikopa 100000
[emoji666]naiacha Elfu 30000 kwenye acc as initial amount
[emoji666]naiacha buku 5 kwenye acc as my Unbadget amount
[emoji666]Zilizobaki
Total Earning today (faida nloingiza Leo)
[emoji117]Laki 192000
[emoji117]and don't forget today is DAY 3 To my plan of atleast daily wining be Elfu 35000
Days 27 remain[emoji856]
[emoji855][emoji855]imeisha hiyo nimeingiza laki na 92000 pure faida
FEARLESS
View attachment 1264042View attachment 1264045
Mkuu[emoji120] samahan rejea my previous winning, karibu zote nilikuja na kuwapa tips strategy na reasoningMkuu nakupongeza sana kwa ushnd wako, ila upunguze kuvimba mkuu, ukila share boom, toa stratagies na ushauri mambo mengine yaendelee, usijifanye kuw wewe ndie bingwa saana na kwamba et wengine hatuingizi faida, hiyo inafanya baadhi ya watu kama mimi tukuone limbukeni wa pesa. Watu kama Proffesor,Void na Mayu mbn hushare tips zao na hakuna anaejipiga kifua hivyo?? wewe kuingiza faida ya 100K+ ndo kelele na mipasho yote hiyo? punguza ujujuaji.Watu tunapiga mizigo mizito zaidi ya hiyo, na tumetulia, hvy tukiona mtu ana kelele nyingi na majivuno mengi baada ya boom tunamuona Muimba taarabu tu.NIKUPONGEZE TENA. hongera mkuu
Thanks [emoji120]Mkuu hongera sana wewe mpe vichapo tu
Piga hela zako kimya kimya tu mkuu ya nini uteseke watu wa huu uzi siku hizi hawana shukrani. Wamekuwa watu wa ajabu sana.Mkuu[emoji120] samahan rejea my previous winning, karibu zote nilikuja na kuwapa tips strategy na reasing
Mfano.
Screenshot no 1[emoji116].
[emoji666]France vs Moldova
France alianza kupigwa goli ikabidi nizame nichmbue why kapgwa na ngumu kulirudsha?
Nkakuta Moldava kapiga line Up ya 5-3-2
.ndo nkjua why France analitafuta kwa tochi goli la kulevel matokeo ile 1half,na nkiongzea uzoefu vitimu vidogo vinapokuw ugenini vikibahatsha kagoli ka mapema vinakaza kichizi
Nkaja kuwapa tips
France vs moldova
wekeni 1half under 2.5(nkasema kama unaroho ngumu maana odd ilkuw juu)
But kama una roho nypes weka under 3.5
(Sure bet kabisa)
[emoji117]bado sitoi tips&strategy thnks[emoji120]
[emoji666]Screenshot no 2.[emoji116]
Jana Asubuhi na mapemaaaaa kabisaaa
Nkawaambia EURO QUAL. Match Zote zinatoa over 1.5 nikawapa onto nakusema
ANGALIZO: matches ya
Switzerland vs Georgia
Armenia vs Greek
.
Zinaweza kukuchania mkeka kwa over 1.5
So usiziweke ila match zote za Euro Qul. Kajichambulie odds tamu utupie mkeka
[emoji666]nakweli mambo yakaja nilivosema
Zote zimetk iskpokuw nlizosema.
3.screenshot no 3[emoji116]
[emoji666]kuna mkuu aliuliza swali kutaka kujua opt.
Ya WHO WIN THE REST???
nkamjbu kwa Maelezo na mifano
Na huo ni mfano tu maana nishajibu wengi
Pia kuna MTU aliuliza kutaka kupata live/betting strategy sio mmja au wawili wengne had pm nkawaelkeza fresh na humu nkawachambulia strategy zote za live betting
[emoji117]bado navimba thanks[emoji120]
[emoji666]Jana niliulizia sana line up ya taifa stars Mara 2 nkajireply ile comment ikae juu tena may be hamuioni
[emoji45]hakuna aliye nijibu
Mida kidogo nkawa nimepata line Up ya timu zote mbili
[emoji666]nikaja na tips ya kumuua stars
Nkaweka na line up kabsaa ya timu zote mbili
[emoji120]Nafurahi stars ilushinda, ila kuna watu walikuja na utaifa mbele nakuanza
kuniquotes shit! "Lichawai limeshindwa
hiloo" Mara "nikonajikojolea saivi after
loose"
[emoji666]kama mkamaria mzoefu
rule no 1.BET FOR YOUR HEAD ANALYS,NOT YOUR HEART(don't bet as fan)
ndo nilichokifata after my analysis nakweli sikuwa mbali na my Analysis
[emoji666]hakuna hataaa mmja alokuja kuniuliza why???? Nilimpa Guinea kwa buku 4, odds 5
[emoji117]bado navimba thanks[emoji120]
[emoji666]kuna watu huwa wanakuja PM niwape
tips za siku huyo na wengne my strategy
Wote niliwajibu ipasavyo(kama dangnya
kam sijawah kkjb njoo useme)
Mfano; kuna wawili usiku Jana waliniomba tips za kulaza mkeka nikawapa tena mkeka ambao nishaubet hela kubwa tu kuwaaminisha(sasa hivi tunacheka nao napoandika hivi)
Ila sijawahi mjibu yoyote anilipe wala cijui Nina whtsap group la tips kujiunga hela free & fair
[emoji666]bado najikweza[emoji120]
Kuhusu my PM nawahaid kuwapa ushirikiano tu wale walokuja before hii post
Mlobaki wallah sijbu [emoji735][emoji735][emoji735]
[emoji120]Naonekana sana najimwambafai basi tuishie kula boom tu
Au hizi emoj zinawachangny [emoji855][emoji53][emoji856][emoji23]
[emoji855]imeisha hiyo
View attachment 1264080View attachment 1264083View attachment 1264084
Piga hela zako kimya kimya tu mkuu ya nini uteseke watu wa huu uzi siku hizi hawana shukrani. Wamekuwa watu wa ajabu sana.
Ushauri wangu ni huo piga zako kimya kimya. Waswahili hawana jema.Sote ni wakamaria inabidi turekebishane tuu
Lengo letu ni moja kutianga nguvu tu maana tukitoka hapa huko nje ukimwambia mtu kubet anakuona muhuni sana
Binafs mimi
na kuna kipindi nilikuwa nadeposit hadi shil.mia 300 yote ni sababu yakutokata katamaaa nilwahi liwa zakutosha. but ila hadi mia 300 niliamin inauwezo wa kutusua
Inshort; tusikatishane tamaa kila mtu na kipato chake na kila mtu na maumiv yake Mimi kurudsha hela nikyokwsha loose itachukua mda sanaa.
Nothing I gain than stay in market anytime naweza drop View attachment 1264095
Tips na ntatoa atakaye fanyia kaz Barida atakae pg chin so lazm watoa tips n weng humu na huwa ziko good tu zinatoaUshauri wangu ni huo piga zako kimya kimya. Waswahili hawana jema.
Unavyopost hapa umekula wengine hawapendi wanaona unaringa. Wanapenda upost lost ili wakupe pole. Mtu unampa tips. Ni swala la yeye kuongeza na akili zake tu. Anakuuliza mbona hivi mbona vile.
Mkuu nakupongeza sana kwa ushnd wako, ila upunguze kuvimba mkuu, ukila share boom, toa stratagies na ushauri mambo mengine yaendelee, usijifanye kuw wewe ndie bingwa saana na kwamba et wengine hatuingizi faida, hiyo inafanya baadhi ya watu kama mimi tukuone limbukeni wa pesa. Watu kama Proffesor,Void na Mayu mbn hushare tips zao na hakuna anaejipiga kifua hivyo?? wewe kuingiza faida ya 100K+ ndo kelele na mipasho yote hiyo? punguza ujujuaji.Watu tunapiga mizigo mizito zaidi ya hiyo, na tumetulia, hvy tukiona mtu ana kelele nyingi na majivuno mengi baada ya Kwani ww mini kimekuuma mkuu, mtu kama kashinda bet yake kutamba na kufurahi we unakereka? Inaonekana roho yako ina husda sana
imeish hyooo...Australia this morning event; 9:00
Pre-match
Central Cost vs Adelaide Utd
Die hard heart place[emoji116]
1st half under 1.5(odds 1.53)
Kama hutak presha place
1st half under 2.5(odds 1.20)
Imeisha hyo[emoji120]
jana nilishinda aisee,.BOOOOOOOM!!!! kama ulitemblea nyota sasa HV tutakuwa tunacheka wotee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naomba match ya England ikamilk FT tuu msubiri screenshot za malipo tuheshimiane kbsaa
Mzee baba tupo pa1 sana na nafuaatilia tips unazotoa achana na hao wapga kelele Kwan wengine humu ni mawakala wa kanjiTips na ntatoa atakaye fanyia kaz Barida atakae pg chin so lazm watoa tips n weng humu na huwa ziko good tu zinatoa
Kuhus roho mbaya akipasuka mtu ndo nitaacha kupost winng