Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wa fursa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Ukiona unitiwa fursa ujue wewe ndio fursa yenyewe
 
At your own risk

Nb, kila niki share mkeka unalost, kimya kimya inatiki
Mkeka A
Namibia nimemtanguliza na goli 2.5, nahisi guinea hawezi shinda wastani wa 3 - 0

Nigeria nao ugenini sio wazuri, sidhani kama wanauwezo wa kushinda wastani wa 3-0 pia

Wacongo wabishi kwao nimewatanguliza na goli moja

Rwanda uwanja wa nyumbani kufunga goli ni kawaida, nimewapa over 0.5 ft

Game ya Gabon imenishinda maarifa nimerusha shilingi, hakuta kuwa na draw

Mkeka B
Eswatini wadhaifu sana kwa Senegal, senegal win

Sudan wadhaifu sana kwa SA, SA win

Uganda nimewapa dc 1x, wana advantage ya nyumbani na wako vizuri dhidi ya malawi

Game ya Burkinafaso nimerusha shilingi, no draw

ZAKUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
 
OK,kiufupi Mimi ni mwathirika wa bet ,usihofu Mr
 
VIP (Very Important People)daaaaah [emoji16][emoji16]
 
Acha upimbi
 
Hapo hata Mimi huwa najiuliza,mtu ana sure odds kwani usiweke hata milioni mia akaacha kuhangaiko huku jukwaani kuwalaghai RAIA,huyu jamaaa anayejiita@alfredlucas ni mhuni sana,anataka kutapeli watu,hakuna cha sure odds but it is all about lucky
Kuna watu wanapelekwa kibra soon.
Huwa najiuliza kama mtu ana sure bet kwanini asiweke hela nyingi kuliko kuanza okoteza 5000 kwa watu?

Afu mechi zenyewe za mwezi wa 7
 
Hiii ni ticket ya Leo wakuu iko safe weka pesa yako na
Na tukutane jion

Muda BOOOM WOOON
SEE YOU LATER GUYS
 

Attachments

  • Screenshot_20191117-042145_Chrome.jpeg
    28.4 KB · Views: 18
Pia ikumbukwe beting ni bahati tu sasa aje atueleze kama bahati inanunuliwa na soko lake liko wapi aache kulete mambo ya fb huko.
Hapo hata Mimi huwa najiuliza,mtu ana sure odds kwani usiweke hata milioni mia akaacha kuhangaiko huku jukwaani kuwalaghai RAIA,huyu jamaaa anayejiita@alfredlucas ni mhuni sana,anataka kutapeli watu,hakuna cha sure odds but it is all about lucky
 
Today's Tips

Euro qualification✅
Russia vs Belgium
Tip over 1.5
Odd 1.27
Time 2:00

Euro qualification✅
Austria vs Macedonia
Tip 1
Odd 1.30
Time 4;45

Euro qualification ❌
Slovenia va latvia
Tip 1 goal handicap 1 win
Odd 1.30
Time 4;00

Euro qualification ❌
N.Ireland vs Netherlands
Tip 2
Odd 1.57
Time 4:45

Euro qualification ✅
Germany vs Belarus
Tip over 2.5
Odd 1.30
Time 4:45

N.ireland✅
Institute vs LInfield
Tip 2
Odd 1.28
Time 12:00

4 out of 6 BOOOOOOOM 💪💪
 
wadau leo nimejaribu volleyball vs basketball naombeni tips na experience kwa mliowahi kubetia hiyo michezo
 
Iyo basketball japo siujui vizuri ila nina uhakika ni 85%
Kama utachagua chache usizidishe weka chache
Betia kwa meridian ndio kuna odss nzuri
Odds chache hapo kwa @ ni 1.39 odds kubwa ni 1.56
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…