Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Wewe ni mgeni kwenye hii tasnia?Wadau kuna kampuni ya kitanzani ambayo haina kodi kabisa? I mean nikiwa na odds 1.56 kwa stake ya 10,000 nipate cash 15,600.
Mi binafsi kulipa kodi kwa mkeka siwezi, inaniuma sana. Yaani unachapwa mikeka mi3 mfululizo na mhindi, ukija kumchapa wewe, serikali iko na wewe kwenye 20%. Siwezi mimi.
HAKUNAWadau kuna kampuni ya kitanzani ambayo haina kodi kabisa? I mean nikiwa na odds 1.56 kwa stake ya 10,000 nipate cash 15,600.
Mi binafsi kulipa kodi kwa mkeka siwezi, inaniuma sana. Yaani unachapwa mikeka mi3 mfululizo na mhindi, ukija kumchapa wewe, serikali iko na wewe kwenye 20%. Siwezi mimi.
Ko ligi gani hutoa sana BTTS
Hahaa MPWA ETHIOPIA YA SASA N MIMBAA HATAREE UKIPANUA WANAJAZAA ACHATuliompa Ivory Win au Double Chance tujiandae tu kisaikolojia
PARIMATCHWadau kuna kampuni ya kitanzani ambayo haina kodi kabisa? I mean nikiwa na odds 1.56 kwa stake ya 10,000 nipate cash 15,600.
Mi binafsi kulipa kodi kwa mkeka siwezi, inaniuma sana. Yaani unachapwa mikeka mi3 mfululizo na mhindi, ukija kumchapa wewe, serikali iko na wewe kwenye 20%. Siwezi mimi.
Hakuna ligi ngumu kutoa magoli km Kontinental Hockey ya Russia, labda mweleze vzr ni ligi ipi unayoongelea kwa ninavyojua labd ligi za chin km VHL na minor hockey at least ndo hutoa sana BTTS. League nzuri kwa BTTS ni Finland, norway , Austria, German, NHL ya USA, Slovakia, Czech, Swiss na nyngne lkn kwa Russia hiyo Kontinental ogopa mkuu. ONLY ADVICEUSA na Russia huko ni lazima
Kabisa mkuu hapo ni kuwa Libya DC au cheza over 1.5Hivi ni kweli libya wazuri hadi kufikia tanzania kupewa odd 4 na ushee
Wadau kuna kampuni ya kitanzani ambayo haina kodi kabisa? I mean nikiwa na odds 1.56 kwa stake ya 10,000 nipate cash 15,600.
Mi binafsi kulipa kodi kwa mkeka siwezi, inaniuma sana. Yaani unachapwa mikeka mi3 mfululizo na mhindi, ukija kumchapa wewe, serikali iko na wewe kwenye 20%. Siwezi mimi.
Ft x-Equatorial vs Tunisia
Equt loose
-Libya ve Tz
Libya win