Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Parimatch
 
Huuuu nilishare humu mapema mpaka kuna mdau akacomment Brazil utasikia kasare yaaan odds 100+ zimeniuma
 
Hiyo BTTS ni kwa jumla au kwa kwa kipindi?
 

Parimatch
 
Hiki ndo nini mkuu kama sio matumizi mabaya ya mida na bando aisee hivi haikuumi hapo kama ungetupia buku tu
Mkuu kuna mtu nilishare hizo kapiga mimi nilipanga kutia mzigo hapo...LAKIN MAJINI ya kanji haya we acha tu nikaenda okota pembe ya ndovu
 
Thanx ndg kwa ushaur
 
Penguins - New York Islanders

Hockey tip
Ft X 4odds πŸ’šπŸ’šπŸ’š

Blue Jackets - Montreal Canadiens
Hockey tip
Ft X. 4odds 😑😑😑
 
Daaaah wakuu Mimi hata sijui nitashinda lini Mkeka daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…