Hukuielewa hiyo option. Kama ilikua 0-1 na wewe ukanogewa na odds umeliwa. Who wins the rest of first half maana yake nani atashinda kwa muda ulipbaki wa kipindi cha kwanza baada ya matokeo hayo ya 0-1? Hapo una ashumu 0-0 kama ulichagua wa ugenini ilibidi apate goli tena au kama ungechagua wa nyumbani na akapata goli na Halftime ikawa 1-1 ungekua umeshindaAlikua tayari anaongoza moja nikaweka yeye ndiyo ashinde kipindi chote cha kwanza na ikawa hivyo lakini bet Lost.
Daa kizungu kigumu aisee weee ukiweka option iyo futa matokeo yanayonyesha assume ni sifuri kwa sifuri mkuu kama hujui kitu ulliza kabla ya kubet vingnevyo utapukutishwa kwa kutojua lugha ya malkia mkuuWadau ni mimi sikuielewa option au parimatch wamefanya uhuni? Hiyo mechi ya Cr vasco da gama option ya "who wins the rest of 1st half", nikaweka wa ugenini ashinde na kweli 1st half wa ugenini kashinda moja bila, cha ajabu wameweka bet LOST.View attachment 1267868
Aisee shukran, sasa nimekupata nilitamani odds kumbe naingia chakaaaaHukuielewa hiyo option. Kama ilikua 0-1 na wewe ukanogewa na odds umeliwa. Who wins the rest of first half maana yake nani atashinda kwa muda ulipbaki wa kipindi cha kwanza baada ya matokeo hayo ya 0-1? Hapo una ashumu 0-0 kama ulichagua wa ugenini ilibidi apate goli tena au kama ungechagua wa nyumbani na akapata goli na Halftime ikawa 1-1 ungekua umeshinda
Kwa sababu mshindi amepatikana baada ya hayo matokeo ya awali kabla hujabeti
Aisee kweli lugha ya malkia ina vipengele vingii, nilitamani odds kumbe na zenyewe zimenitamaniDaa kizungu kigumu aisee weee ukiweka option iyo futa matokeo yanayonyesha assume ni sifuri kwa sifuri mkuu kama hujui kitu ulliza kabla ya kubet vingnevyo utapukutishwa kwa kutojua lugha ya malkia mkuu
Inaweza kuwithdraw?airel mastercard tuitumie kimyakimya yule boss wa sportpesa asije fanya yake sijui tutumia tafisida gani..makampuni ya bongo wanapenda kutupiga tu na option zao chache...alafu ice hockecy ukitulia kuna pesa kweye which team wins ukiwa ntu wa odds 2 au 3 uhakika wa pesa upo
Inaweza kuwithdraw?
airel mastercard tuitumie kimyakimya yule boss wa sportpesa asije fanya yake sijui tutumia tafisida gani..makampuni ya bongo wanapenda kutupiga tu na option zao chache...alafu ice hockecy ukitulia kuna pesa kweye which team wins ukiwa ntu wa odds 2 au 3 uhakika wa pesa upo
Inavyosemekana unaweza kuwithdraw, kwa usiku ndio inasumbuaKuwithdraw hawatakagi kusema kama inawezekana.. Kila anaeulizwa hili swali huku anapotea wala hajibu kitu..
Unapostake option km hiyo unatakiwa usiangalie matokeo uliyoyakuta tyr, unatakiwa kwa muda uo unapostake u-assume matokeo ni bila bilaAlikua tayari anaongoza moja nikaweka yeye ndiyo ashinde kipindi chote cha kwanza na ikawa hivyo lakini bet Lost.
Wadau ni mimi sikuielewa option au parimatch wamefanya uhuni? Hiyo mechi ya Cr vasco da gama option ya "who wins the rest of 1st half", nikaweka wa ugenini ashinde na kweli 1st half wa ugenini kashinda moja bila, cha ajabu wameweka bet LOST.View attachment 1267868
Mkuu sijawahi kabisa kutumia SkrillMkuu inawezekana kuwithdraw pesa kutoka skrill to bitcoin??
Hayo ni manyonyo au nini?πππNEW ALERT: WALE WA KULE KWA MRUSI TAFADHALI WEKENI NA KUTOA PESA KWA NJIA MPYA YA AIRTEL MONEY MASTER CARD , TENGENEZA CARD YAKO KISHA DEPOSIT ,BET ,SHINDA MAMILIONI.View attachment 1267867
Acha kumfanyia utani mke wa mwenzio concentrate kwenye card inayotusaidia KUBET kule kwa WARUSI mengine waachie wenyewe.Hayo ni manyonyo au nini?πππ
Hii hata mie ilinikuta mara 2 BETPAWA unashangaa tu ODD zinakuwa MLIMA pale mwisho mwisho wa mechi na hivi tunapenda LIVE/INPLAY unakimbilia unaweka stake ya juu mechi inaisha RED REDAiseeee UMENIKUMBISHA MBALI MPWAA ACHA TU SIKUHIO SIJUI NKAONA 3-1
TO WIN THE REST NKAJIHAKIKISHIA HME KASHINDA NKAMWAGA MZGO FT 3-2 LOH NILIYOYAKUTA YANAPENDEZA SANA
Haiwezekani kuwithdraw kutoka Skrill kwenda Bitcoin, ila unaweza kuwithdraw kutoka Skrill kwenda Safaricom KenyaMkuu inawezekana kuwithdraw pesa kutoka skrill to bitcoin??