Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betpawa wahuni kuna siku nilikosea mechi ya kuchagua na option wanakwambia Once bets placed you can't cancel. Vipi 1x bet ile system ya kuuza ticket ukiona mambo yanakaribia kuharibika, bado ipo?
BADO IPO
 
Luna mdau aliwahi kutupia link ya kubetia kwa kuchagua odds unazotaka kisha umachagua aina ya mchezo halaf web yenyewe inachagua aina za mechi na kuleta hizo odds. Mwenye nayo anikumbushe
 
Luna mdau aliwahi kutupia link ya kubetia kwa kuchagua odds unazotaka kisha umachagua aina ya mchezo halaf web yenyewe inachagua aina za mechi na kuleta hizo odds. Mwenye nayo anikumbushe
Google h2hstats then chukua iliyoandikwa h2hstats.net
 
jaman eeh kuna group la whatsap la jackpot hilo group tutakuwa tunachambua match za jackpot tu kila mmoja anabashir match moja iwe ya gsb au bet pawa kwa kushirikisha utabir wa wengi nahisi tunaweza tukawa tunaokota japo kidogo karibuni, nashindwa kuweka link hapa if u r interested on it r welcom, tupia namba pm, nikuunge faster
 
weka link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…