Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Alichofanya d bora nilale tu nlimuwek sehem mbili lkn kwa yote tujifunze ndugu lkn pia ndan ya wiki kocha virago atabeba sio kwa kuchan [state kubwa cz ya odds siamini ss bt ya kurudisha ipo)
 
Wakuu nina 500K kuna manunuzi jtatu inatakiwa niyafanye kkoo ya hiyo pesa na nitume mzigo mkoani.

Sasa kabla ya kufanya hivo naombeni Odd mbili tuu (2 Odd) ili na me nibaki hata na 500K
 
Wakuu nina 500K kuna manunuzi jtatu inatakiwa niyafanye kkoo ya hiyo pesa na nitume mzigo mkoani.

Sasa kabla ya kufanya hivo naombeni Odd mbili tuu (2 Odd) ili na me nibaki hata na 500KView attachment 1269625
Jilipue mwenyewe tu Mkuu,Betting ni hatari sana umeona Dortmund alichofanyiwa usiku huu Be carefully sana.
 
Kwa mara ya kwanza napata usumbufu kwenye kudeposite tangu nimeanza kutumia betpawa
 
Nenda ice hockey, league ya USA, weka both team to score mechi zote hukosi odds za 2+, hapa hela ni uhakika labda wasilete team uwanjani! Thnk me later
Wakuu nina 500K kuna manunuzi jtatu inatakiwa niyafanye kkoo ya hiyo pesa na nitume mzigo mkoani.

Sasa kabla ya kufanya hivo naombeni Odd mbili tuu (2 Odd) ili na me nibaki hata na 500KView attachment 1269625
 
wale wanaotumia princessbet kuna shida gani? maana toka jana team hazionekani na wahudumu wao hawajibu maswali .
 
Hao princessbet siku za karibuni wamebadilika sana. Kuna muda huwa hawapokei simu au hata kukata kabisa. Mtandao wao hazipiti siku 2 haujasumbua.
 
Sioni haja ya kulalamika kuhusu yaliyokua makampuni mapya yalikua hivi sasa hivi yapo hivi.

Guys mf. mzur na rahisi. Unapomtokea kisura kwa mara ya kwanza utatumia moyo wa Eden kwa ukarimu woooote utu wema kama wana wa mbinguni, ila ukishamnasa inakuaje? b'ness as usual.

Hii ilikua karibu mteja tu na tujuavyo we are African longo longo ndio maisha yetu.

BETI kistaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…