Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Bet woooooonAjax win
Buyern win
Liverpool win
Man city win
Barcelona win
Odd 4.02
Lolote linaweza tokea stake which u can afford to lose
Gal sport sijui nimefata nn huko leo...mkeka nilioeka madrid apite nao tu mana kuangalia mkeka nasumbuka sana..au kuna setting maalum?
Ata mimi Baada ya muda mrefu leo nimewin bet nimepatia odd 55 daLeo kwa mara ya kwanza tangu mwezi wa 6 ndio nimepatia odds 20. Naishukuru sana serikali ya awamu ya 5
KAMPUNI GANI HAINA MAKATO?
[emoji117] UKRAINE [emoji1255] [emoji1255] LEAGUE[emoji118]
[emoji117] DNIPRO - VORSKLA==[X/X] FT[emoji118]
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
[emoji117] KICK OFF TIME:16:00[emoji118]
[emoji117] 100% FIXED MATCH [emoji118]
Unaangaliaje mkeka ulioweka mana nimeweka mkeka ila haufunguki tena kuona matokeo ya kila mechi, wanaonyesha lost na won tu ila hizo mechi ndani ya mkeka huo hazifunguki..nimetumia ID ya mkeka bado mechi sizioniSijakuelewa kaka....nini tatizo na Gal?
behewa letu limevuka vituo 24 bado vituo vidogo vidogo 6' tuombe mungu atufikishe salama.I can win 27K TZS at betpawa.co.tz, join now and win with me!
inshallah Mungu atuletee heri,.kwako betpawa ipo fresh?kwangu bado inasumbua adi leobehewa letu limevuka vituo 24 bado vituo vidogo vidogo 6' tuombe mungu atufikishe salama.
behewa letu limevuka vituo 24 bado vituo vidogo vidogo 6' tuombe mungu atufikishe salama.
hakuna. sema ziko kampuni ambazo hata wakikukata unahisi hawajakata kama parimatch
KAMPUNI GANI HAINA MAKATO?
Aisee mzee naomba usiache post bana meko! Just share with us! Sio kila mtu ana shukurani ila jua kuna mamia wa raia tubanefit na post zako na kutoa tip kabla ya game inaonesha jinsi gani uko serious na unajiamini.Tips na ntatoa atakaye fanyia kaz Barida atakae pg chin so lazm watoa tips n weng humu na huwa ziko good tu zinatoa
Kuhus roho mbaya akipasuka mtu ndo nitaacha kupost winng
Kwanini mkuu umemla sana au?jana mhindi kufilisika aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]