Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nimetoa hela jana mchana betpawa mpaka sasa haijaingia kwenye simu yangu na simu zao hawapokei/zinakata nifanyeje?
Hujaona tangazo lao toka jana
Wana shida kwenye utoaji, ikikaa sawa utapewa tu mkuu

Betpawa wakipigwa sana wana delay kwenye malipo
 
Hujaona tangazo lao toka jana
Wana shida kwenye utoaji, ikikaa sawa utapewa tu mkuu

Betpawa wakipigwa sana wana delay kwenye malipo
Ngoja niwe mpole maana hela imeshatoka kwenye akaunti na kwenye simu haijaingia yaani ipo hewani inaelea....
 
Betwapa ni kampuni kubwa hawawezi kudhulumu..Kuna matatizo kweli ya kiufundi..wanasolve hiyo kitu..hawawezi kuharibu reputation yao ukizingatia bishara ni ushindani..tuwe na subra wazee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…