Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Kuna mwaka niliwala meridiana 3m sasa kilichotokea story story siku hiyo niliamka na hasira niakenda kwa tarimba kipindi hicho gamin board bado mbona waliitwa na wakanipa 10% ya usumbufu ...cha msingi screen shoot msg zao na mkeka wako wana michezo ya kufuta mkeka uliyoshinda andika namba ya mkeka pembeni ...zikifika siku saba nenda ka claim pale utapewa na cha juuAisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1272410
Mkuu niko hapa stesheni nasubiri lift kwakweli umefanya weekend ya kila mkamaria iwe murua kabisa japo bado hatujafanikiwa kuwithdraw but mafanikio yapo. Pamoja sana mkuu japo ktk lile behewa nilijipunja sana kwa kupunguza baadhi ya mechi amakweli uoga wako ndo umaskini wako but iko vizuri mpaka kanji kafilisikaaaaaNiaje Arifu?
Nimepata treni moja linaelekea kigoma,
punde si punde nitaliachia hapa.
WordKuna mwaka niliwala meridiana 3m sasa kilichotokea story story siku hiyo niliamka na hasira niakenda kwa tarimba kipindi hicho gamin board bado mbona waliitwa na wakanipa 10% ya usumbufu ...cha msingi screen shoot msg zao na mkeka wako wana michezo ya kufuta mkeka uliyoshinda andika namba ya mkeka pembeni ...zikifika siku saba nenda ka claim pale utapewa na cha juu
Mkuu treni liko vizur, hapa kanji tunaweza kumfungisha biashara mambo yakiwa mazurLampanda halina kanuni!!
linaondoka leo tarehe 25/11/2019 , mungu akijaalia linafika tarehe 30/11/2019.
I can win 36K TZS at betpawa.co.tz, join now and win with me!
TAG|
Pain killer hajikagoro Junior mafia Shark moj6 soka255 @emperior of the south
Mkuu hiyo ni kampuni gani yenye option zaidi ya moja per gameMambo ya kesho hayo!! Wale wadau tunao safirigi pamoja kazi kwenu
Thnx mkuuLampanda halina kanuni!!
linaondoka leo tarehe 25/11/2019 , mungu akijaalia linafika tarehe 30/11/2019.
I can win 36K TZS at betpawa.co.tz, join now and win with me!
TAG|
Pain killer hajikagoro Junior mafia Shark moj6 soka255 @emperior of the south
Thanks mkuu, kanji atajuta safari hiiMkuu treni liko vizur, hapa kanji tunaweza kumfungisha biashara mambo yakiwa mazur
Wacha nikae karibu na injini kabisaLampanda halina kanuni!!
linaondoka leo tarehe 25/11/2019 , mungu akijaalia linafika tarehe 30/11/2019.
I can win 36K TZS at betpawa.co.tz, join now and win with me!
Meridian mzee wako vizuri ila kama una bet weekend bet usikuMkuu hiyo ni kampuni gani yenye option zaidi ya moja per game
Mwendo wa magoli tu
Mwendo wa magoli tu
Meridian mzee wako vizuri ila kama una bet weekend bet usiku