project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Niingie google Kuperuzi kwamba kampuni gani ina option ya double chance kwenye ice hockey wewe nae ni wale wale tu fikiri kabla ya kujibu basiKwamba utumie akili zako kuingia Google kuperuzi
Mbona rahisi tuNiingie google Kuperuzi kwamba kampuni gani ina option ya double chance kwenye ice hockey wewe nae ni wale wale tu fikiri kabla ya kujibu basi
Wakuu tusaidiane mi nilibeti tu kujaribu volleyball ila mkeka ukatiki kipesa cha vocha sasa sijajua hata hizo under nilizoweka zimepatikanaje maana kila nikipiga hesabu sielewi hapo mwenye uelewa tusaidianeView attachment 1273271
Sasa si kichwa chako kwani ulitaka aseme kichwa cha shangazi yako? Unakompliketi mambo kama mwamvita wa buzaKamanda MTU ukiuliza kampuni ya kubeti mtu akakujibu kichwa chako hapo amekufanyaje kwa uelewa wako
Ndo maana nimemcheza option tu hakuna sehemu nimempa direct win!! Ijapokuwa leo anaweza chinja mtuHuyu Atalanta Leo anaweza aka mwaga mboga
Kama ulichagua set 1 Basi unahesabu hapo kwenye set ya kwanza tu, kama ukichagua seti nyingine, basi utahesabu set husika.Sawa mkuu kwa hiyo in kuangalia jumla ya seti ya kwanza tu
wakuu naomba msaada wa NG inavyofanya kazi, GG maana yake wote wafungane, nimeweka mkeka kwa option ya GG/NG yes maana yake nini?
Hapo inamaana wafungane, ukiweka GG/NG no - maana yake mmoja tu afunge au watoke 0-0wakuu naomba msaada wa NG inavyofanya kazi, GG maana yake wote wafungane, nimeweka mkeka kwa option ya GG/NG yes maana yake nini?
Hapo inamaana wafungane, ukiweka GG/NG no - maana yake mmoja tu afunge au watoke 0-0
Kichwa chako!Kwamba utumie akili zako kuingia Google kuperuzi