mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
kila mtu na maoni yake. nikikuonesha jinsi nnavopigwa basket na nnavoshinda footbal huwezi niambia basket ni rahisi. mostly nacheza inplayIla nilichogundua mpira ni mgumu kuliko basket kwenye basket sijawahi kupigwa mikeka mitatu mfululizo ila kwenye mpira ni kawaida sana hiyo
Hizo OVER ndiyo zitakuchania mkeka rethink na kuna za UNDER hapo au OVER ianzie 1.5 hongera ODDS 5,935 ukiweka 10,0000 una 90,000,000/=PITIENI hapa mkiedit mnipm link
Mkuu sasa bet kama hii na hizo odds unaweka sh ngapi
Nipaa nao huu aise da acha tuMadrid man city na ipswich mamaaaeee m 21,000,000View attachment 1273889View attachment 1273888View attachment 1273886
PITIENI hapa mkiedit mnipm link
Uliweka nchi gani mimi nimeweka nchi ya Russia kwamba ndio natokaSawa mkuu
tuone ticket mkuu, sio kuleta maneno tuNimelaza laki tatu bila presha,we unacheka?
Shida umerudia rudia timu meko! 🤣🤣🤣 sikuingine hakikisha urudi bet type moja kwenye mikeka tofauti.Kubeti noma yaa nimetengeneza mikeka kumi ya double chance kwenye mpira nikijua piga uwa mitano itatiki itakuwa imerudisha hela na was sita ukitiki ni faida huwezi amino yote imeungua
niliweka KenyaUliweka nchi gani mimi nimeweka nchi ya Russia kwamba ndio natoka
Mayu anawekaga stake za maanaHatakagi presha jamaa buku mbili yeye fresh
niliweka Kenya nikiingia 22bet bado wananiambia haipatikani nchini kwanguniliweka Kenya
mm nilitumia 22bet.co.ke, ilikubali ulivyoweka Russia?niliweka Kenya nikiingia 22bet bado wananiambia haipatikani nchini kwangu
Ndio maana nikaweka Russia
Hamna mkuu sikurudia timu hata moja kila timu tatu au NNE na mkeka wakeShida umerudia rudia timu meko! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikuingine hakikisha urudi bet type moja kwenye mikeka tofauti.
Mkubwa mi hapo kuna baadhi nmepunguza total, Zenit, Blackburn, Middlesborough na QPR nmewapa over 1.5 nyingine over 2.5 vilevile.PITIENI hapa mkiedit mnipm link
basi hilo ndo tunaita "GUNDU"Hamna mkuu sikurudia timu hata moja kila timu tatu au NNE na mkeka wake
Mbona link inagoma?Haya wale wenzetu....hebu njoo na huku pia,mhindi aombe poo.
Tupunguze jam hapa.
Gusa link hii[emoji1427]
Nikumbuke katika UFALME wako mzee babaMkubwa mi hapo kuna baadhi nmepunguza total, Zenit, Blackburn, Middlesborough na QPR nmewapa over 1.5 nyingine over 2.5 vilevile.
Zile game za china nmebadili kutoka GG na kuweka magoli,
Chongqing, Shandong, Shanghai, Shenzhen na Tianjin nmewapa over 1.5.
Then Beijing renhe, Guangzhou na Hebei nkawapa over 2.5.
Sema mzigo wa odds ukashuka balaa
Tengeneza Leta tulipasishe TBSTutengenezeni treni jingine LA tarehe 30-na trh 1