Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi moja ndo imechana du Kati ya nane 7 zimefungana hata ALIYE bet over 1.5 kapigwa mana kuna mech ft 0:1
usife moyo we tupiaga tu maana hata Mimi imechana moja ila kazi nzuri unayoifanya
 
Genk - Salzburg —conners over 12.5 - odds 3.20

Slavia - Inter —conners over 12.5 - odds 3.15

Lille - Ajax —conners over 10.5 - odds 2.25

Leipzig - Benfica —conners over 11.5 - odds 3.00

Total odds - 68.04
POTELEA PWETEEEEEE
 

Huu mkeka ukiliwa rasmi nitajiuzulu kubet, nitabakia kuwa mpenzi mtazamaji
 
Hivi ikitokea kwenye Mkeka timu zote zimekubali kama ulivyobet ila timu moja game yake imehairishwa/imefutwa (Postponed)...pesa yako unapewa ama mpaka na hiyo siku ikicheza ndo itajulikana?!

Kwako Mwl Kashasha
 
Nilikuwa nafanya analysis leo game ya barca ni muhimu sana ukiangali kundi limekaa vibaya leo lazima ashinde maana game ya mwisho a way kwa inter atajitahidi sana kumaliza kazi leo,Liverpool the same napoli wako winnings lesa zaidi ya game 6 mpaka sasa wana hali mbaya ukiangalia hata game ya kwanza waliyofunga liver aise sijuii nisemeje but leo hana chake,leipzg alimfunga benifica kwake leo yupo home wana form ya harati msimu pale home ground yao wana avarage ya goal mbili kila mechi
 
Hivi ikitokea kwenye Mkeka timu zote zimekubali kama ulivyobet ila timu moja game yake imehairishwa/imefutwa (Postponed)...pesa yako unapewa ama mpaka na hiyo siku ikicheza ndo itajulikana?!

Kwako Mwl Kashasha
Unatakiwa kusubiri saa 24h za confirmation ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…