Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Updates walizozifanya hawa Betpawa siku ya Jumamosi inawacost website ilikuwa poa sana imeanza kusumbua.
 
Meridian wakopoa sana kwenye options
Tatizo server zao kimeo kweli,
Ngoja nirudi nyumbani Betpawa
 
Thanks sana mkuu zile odds zako ndogo ndogo sasa hivi mikeka yangu unaenda poa
Meridian wakopoa sana kwenye options
Tatizo server zao kimeo kweli,
Ngoja nirudi nyumbani Betpawa
 
Thank you Kaka
Nimeifata baada ya kuzoom stake nikaona sio stake ya kitoto aisee
Hongera mkuu
Ha haa
Mkuu mambo ya zoom
Kumbe sija crop vizuri

Hongera kama ulifuata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…