project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Aiseee ni kweli mkuu kuna mitimu yakipumbavu sana angalia huu mkeka wake odd mbili tu ulivyochanika kijinga hela yangu imeenda Bure tu pumbafu na nusu yaani sijaotea hata timu mojaAisee kuna mitimu mijinga sana humu duniani ....jamani ninataka odds 3 tu wadau,
ThanxFuata process za kulipia bill halafu kwenye no ya kampuni weka 170066 halafu reference no weka namba yako ya account,kiasi,pin no ,ok
Ice hockey kila kipindi ni dakika ngapi? Na full time ni dakika ngapi? Na dakika za nyongeza ua in ngapi?Wale Wa Hockey Pesa Hiyo
Game Zote Za Norway Eliteserien (Total Over 4.5)
Total ODDS: 2.5View attachment 1275103
Dakika 20 mara tatu 60 full timeIce hockey kila kipindi ni dakika ngapi? Na full time ni dakika ngapi? Na dakika za nyongeza ua in ngapi?
Wadau naomba kuunganishwa ktk group za michezo kupitia whtsp
0766721492
Shwari Dereva wetu,Niaje arifu?
Europa bana hainaga mazoeaWale wa 1st Half EUROPA inaenda kuchana mikeka yenu mapemaaaa!!!
Europ kama umesoma angalizo langu la mchana utapata kitu na experience nayo mika mingi sana zaidi 6 na wabeti hawa team huku nyingi zinalingana uwezo lolote linaweza kutokea hakuna cha home wala nini ...angali wolves alikufa kwake mbele ya bragaWale wa 1st Half EUROPA inaenda kuchana mikeka yenu mapemaaaa!!!
We ni betting mogul
We ni betting mogul
hii 3 way maana yake nini90% safe