Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi ya wolves over 5.5 odds 2.58, sio nyumba na mke tu.... Weka mtaa mzima.

wakati Astana kapigwa alikuwa ana mzigo, nikataka kufuata nikasita nkasema timu halijapata hata point moja leo atawezaje kumfunga Man U kumbe Uoga wako ndio umaskini wako kudadek daaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamlete na Void.. bila kumsahau Pdidy...!! Kanji anaweza fanya ukaugua kichaa walahi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] void kile kipigo hatosahau kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…