Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hutaweza zitoa hizo hela. Maana unatakiwa utoe kwa njia ulowekea au laa sivyo deposit kwa bitcoin cheza afu toa

Yap najua kuwa haiwezekani. Yani nataka nedeposit kupitia cryptocurecy nyingine isipokuwa bitcoin then nibet alaf niwithdraw
 
Izo nyingne mlolongo mrefu Tumia tu Bitcoin kupitia localbitcoin fanya deposit kidogo kisha betia ndo uanze kutoa iliyomo
Yap najua kuwa haiwezekani. Yani nataka nedeposit kupitia cryptocurecy nyingine isipokuwa bitcoin then nibet alaf niwithdraw
 
Mungu yupo wadau tusali maana hii game sitaisahau milele
 
Wadau naomba mtu anielekeze ninawezaje kuwapata hao banc Abc me nko moshi naomba kwa anayejua msadaa wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…