Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Mkuu umenishangaza kweli kwa uzoefu wako kutojua tabia ya ajax akikutana na huyo mtu,ajax huwa anatanguliwa hadi goli tatu na arudi na kushinda the same tu juve hii team ya leo huwa ina msumbua sans50/50
Kama unaamini Ajax hawezi pindua meza basi stake what you can afford to lose View attachment 1278219
twende 2-4 Ajax 83'Ajax kashaliwa huko 2
PoaJamani wadau leo ni siku mbaya sana mlioko na akiba mcheze kwa kuvizia sana mi nimepigwa sana hapa sina hata mia
Parimatch wana hiyo michezo na wakati mtu umekataa change of odds. Unaweka mkeka inaonyesha utashinda 15000 ila ukishinda unastaajabu ni 14600 (mbali na kodi). Ni WIZI TU.Guys inakuwaje at first time umelipia mkeka inaonekana umeshinda 55,000/=
Ukalipa na slip ikaonekana kabisa ukasubili timu zicheze, but baada ya muda unakuta slip imechange from 55,000/=to 47,000/=
Hapa inaonekana odd zimepungua, sasa nan kapunguza wakat slip ishalipiwa,
Au hata kama game inaendelea ikishuka odd kama ulikuwa umelipia inashuka tena??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
kwann usi share nasi baada ya kupet ili iwe rahc ku place bet mkuuJaribu bahat yakoView attachment 1278262
Hakuna odds ambazo game zake zimeingia kwenye refund?Guys inakuwaje at first time umelipia mkeka inaonekana umeshinda 55,000/=
Ukalipa na slip ikaonekana kabisa ukasubili timu zicheze, but baada ya muda unakuta slip imechange from 55,000/=to 47,000/=
Hapa inaonekana odd zimepungua, sasa nan kapunguza wakat slip ishalipiwa,
Au hata kama game inaendelea ikishuka odd kama ulikuwa umelipia inashuka tena??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Mkuu wameshanipaa taarifa kuwa game ya psg imeahirishwa na niliibetiaPain killer ukishaweka bet tu, manake umeingia mkataba halali na bookie kwa wewe kuweka hela ili matokeo yawe kama ulivyoweka kulingana na aina ya bashiri na vigezo na masharti yake.
Hakutakiwi kabisa kufanyika mabadiliko yoyote ya odds au potential winning mara baada ya bet kuwekwa, isipokuwa tu kama;
Mechi moja au kadhaa zimeahirishwa, ambapo kisheria calculation itafanyika kwa (total odds x stake kisha gawanya kwa odds za mechi iliyoahirishwa)
Kwa hesabu za hapo juu ushindi utapungua.
Kama hakuna mechi iliyoahirishwa na umepewa pungufu ya kiasi ulichothibitisha kubet, basi utakuwa umeibiwa mchana kweupe.
Mkuu kama faida n 83k chukua chako mapema aiseeHuu mkeka niuze au niache?ananipa 83k wakati jana kapiga pesa zangu nyingi tuView attachment 1278294
Mkuu kama faida n 83k chukua chako mapema aisee
Liwalo na liweee...bora uliwee tuu kuliko 15k mkuu