Maneno yote haya ni baada ya mechi kuishaMkuu umenishangaza kweli kwa uzoefu wako kutojua tabia ya ajax akikutana na huyo mtu,ajax huwa anatanguliwa hadi goli tatu na arudi na kushinda the same tu juve hii team ya leo huwa ina msumbua sans
Labda arsenal wa PlayStationArsenal lazma ashinde
Labda arsenal wa PlayStation
Inter anaongoza 2 na bado lukaku hajatupia
Huu mkeka niuze au niache?ananipa 83k wakati jana kapiga pesa zangu nyingi tuView attachment 1278294
Ndio kamari mkuuInter anaongoza 2 na bado lukaku hajatupia
HatariiiAisee nimepanda treni la kwenda mumbai badala ya zambia
#yaani hata saa moja bado mikeka 7 imeshachanika kanji kanilaza nje leo
#Cjui wife atanielewa
Wife anahusika vip na kubetAisee nimepanda treni la kwenda mumbai badala ya zambia
#yaani hata saa moja bado mikeka 7 imeshachanika kanji kanilaza nje leo
#Cjui wife atanielewa