Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuuu nimepigwa kama laki kuanzia ijumaa natafta kitanzi[emoji26][emoji26][emoji26]
Usijinyonge mkuu, huo ndio upambanaji kwa kijana wa mtaa, Never give up [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Betting mbaya sana badala kupanda gari za kwenda kwetu goms nimejikuta niko mbagala rangi tatu!! Yanii sijuii hata hii gari ya mbagala nimepanda saa ngapi daaaah!! Leo hichi kipigo kinaitwa sitakii mazoea !!! Hali ni tete
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kuna wakati unataman ungekua kocha ww upange kikosi
 
Hapo angali mkuu vzuri lazma Kuna mechi imekuwa postponed
 
Jamaa wajanja sana juzi kati hapa walilegeza kidogo koki raia wakajichotea watakavyo wakafurahi kinoma...Leo wamekaza ile nganganga lawama zimeanza! Ndio ile ya kusema ngoja msimu uanze nimkomeshe,umeanza ni vipigo kwende mbali...mwisho wa siku tumekua Kama wachimba madini tunajipa moyo deile..iko siku..!
 
Wangetuambia tu kuwa leo ni usiku wa draw EPL tusingeangaika na direct. Au wangesema tumieni matomeo ya waliotangulia kubashiri CS na HF ingetosha sana.
 
Onyoo

Kwa wale wenye wake, betting inapunguza nguvu za kiume hasaa hii wiki, inasemekana wanaume wanaingia kitandan jogoo haeleweki
Ahahhahaaa wewe jamaa utakuja kunitibu mbavu zangu yaani nimecheka mpaka nikasahau kitu kanjibay kanifanya leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…