Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Meridianbet. Co. Tz ndio baba wa option
 
Ila spurs hawana kipa kabisa Yule gazaniga ni bora ya KINDOKI,anachotakiwa man u ni kupiga na kulenga goli tu
 
Ila haya makampuni ya kamali yanacheza Sana na akili zetu kabla ya game sassuolo alikuwa na 1.95 ila perugia anaongoza bado anapewa 2.00 ukiivaa wanaweka draw ukiweka draw perugia anashinda Kama ilivyo na goli anafunga lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…