Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


BET LOST [emoji35][emoji35][emoji35]

CA Platense Wamezingua!

 
Mbona pari match hiyo vitual game zipo lakini hiyo spin to win haipo? Natumia web, au mpaka app?
 
Ni ngumu sana kama nitakuwa nimekuelewa vizuri
 
Toeni maelekezo basi wazee, wengine tunaona namba namba tu, ukichagua mfano 20 mpaka kamshale katue kwenye 20 yenyewe?
Pliz jimmy scam njoo utoe nondo jinc y kuotea itakapotua hko ka mshale kwenye spin
 
Toeni maelekezo basi wazee, wengine tunaona namba namba tu, ukichagua mfano 20 mpaka kamshale katue kwenye 20 yenyewe?
Ukifungua parimatch or princess bet nenda & click kwenye virtual games, shuka hadi kwenye lucky games then uchague Spin 2 win. Utachangua namba moja au zaidi , unazungusha kimshale, kikigota kwenye ile namba uloichagua basi umeshinda.
Ni bahati nasibu hii so inategemea na kisimati chako.
 
Mkuu ulipata wapi nguvu ya kuwaamin arsenal aisee

Mim nawaona kama level za kina cardiff city siwezi kuwapa hata double chance hawa washika bunduki
Ndio hivyo tena mkuu

Pamoja na ukibonde wa Arsenal lakini kwa Brighton alikua na kila advantage ya kushinda game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…