Semeni Bugoke
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 390
- 675
SUNGURA HIYO SIO ACCOUNT YAKO NIMEGUNDUA KITU UNASCREENSHOT ZA WATU
Yaani mm hapa kila mkeka wa betpawa mi nikufuata link tu kukosa na kupata ndo betting yenyeweI can win 2 051K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Mara paaap !!! timu 24 zote zimetoa goli moja kipindi cha kwanza. Mambo yenu ya dharau dharau ...
Inakuaje bossMkuu jimmy mbona hujibu quotes zangu mimi ndo nataka nianze apa embu nipe muongozo mkuu
Sawa sasa apo kwenye rangi na dozen unaoteajeee yaani naona unakula sanaInakuaje bossView attachment 1283979
Sawa sasa apo kwenye rangi na dozen unaoteajeee yaani naona unakula sana
Yah nice mkuu sasa ukilisoma vzr mbona utachekelea saana ukikagundua kamtego tu
Sema uwe una withdraw kiasi
SUNGURA HIYO SIO ACCOUNT YAKO NIMEGUNDUA KITU UNASCREENSHOT ZA WATU
Na wewe sungusungu share experience uliyo ipataKwann mkuu
Itakuwaje nisipo fanya ivo
Iv niww ndoulie leta ii kitu mkuu?????
Kama dawa kama kawa nipo stesheni hapa nasubiri treni. Dah jamani ila vipigo kwangu naona vimezidi cku nikimfuma huyu kanji.... kila kijimkeka nachosuka mapemaa tu kinachanikaWakuu lile gari moshi bado sijaliluhusu liondoke maana linafanyiwa utafiti kwenye ingine, break, tyle, gear, horne... lisije likadondoka kabla hatujafika tuendako kwahiyo kesho asubuhi mapema nitaweka link wadau mtembee nalo
Kwann mkuu
Itakuwaje nisipo fanya ivo
mwambie sungura huyoTunaita saikoloji effect ipo hivi hio spin kuna muda inakua upande mmoja tu sasa kama hujalijua fresh basi ikihama upande wew saikolojia yako bado utaendelea kucheza kama ulivokua unacheza na unawin kumbe gurudumu lishageuka ivo hautakubal kuona unaloss ivo na utazidi na kuongeza dau ndo hapo utakuta umewin laki 9 na hukuwithdraw mpk acc inabaki na mia 2 ndo mana kwasasa nakushar uwe una withdraw mkuu