Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona kama mnapanick wakuu
 
Asa mbona hio utashindwa mkuu manake winning iyo kwangu ni stake ya mia tatu kwa namba moja ambayo nashinda me nikajua target winning ni useme kuanzia laki mkuu ambayo kwa namba stake yake ni elfu tatu ndo nawin 108k
Jimmy umeacha betting kisa loosing, so natak ni prove wrong so battle litakuwa la
BOOM! winning atleast kuanzia 10k each stake [emoji23][emoji23]
 
Wazee wa basket embu tupieni na za basket leo mchana zipo nyingi.
 
Asa mbona hio utashindwa mkuu manake winning iyo kwangu ni stake ya mia tatu kwa namba moja ambayo nashinda me nikajua target winning ni useme kuanzia laki mkuu ambayo kwa namba stake yake ni elfu tatu ndo nawin 108k
BA's tufanye Ku consider winng mkuu, mwenye totall winng nying bingwa
 
wakuu wakati wa kujisajili kwenye parimach pale kwenye promo code naweka nini mana sijawaelewa
 
Unajua haya mambo ya kamari kama hautakua na msimamo na mkakati wako tutabaki kuwa wacheza kamari badala ya wafanyabiashara wa kamari
Thread hii ni makhususi kwaajili ya beti za michezo..... tuweke akili yetu hapo
Kama kuna aina nyingine ya kamari ni sawa lakini wafungue ukurasa mwingi watuache watu wa kubeti hapa
Imekua fujo sasa
Tuheshimu maudhui ya hii thread
 
Apa ndio mahala kila mmoja anaweza jifunza tip yoyote as long as ni betting mkuu
Cc lengo nimoja kumchakaza muhindi wekausha tu watu wajifunze vtu
Mkuu lengo ni moja lakini lazma tuwe specific pia
Haiwezekani kesho aje mwingine aanze kifundisha humu karata, mara farasi nk nk
Kila thread iwe na maudhui yake itabendeza zaidi
Nikitaka spin najua pa kwenda na nikitaka bet ya michezo najua pakwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…