rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Mbona kama mnapanick wakuu
BA's tufanye Ku consider winng mkuu, mwenye totall winng nying bingwa
udinese vs napoli√
Niko nafanya mpaka analysis ya chart kampuni nazotumia ni princessbet na parimatchView attachment 1284327View attachment 1284328View attachment 1284329View attachment 1284331
Ya mapema hiiView attachment 1284391
Hata mimi nasema Mapemaaaa hiiiiiii kbsaaa sa 7 na nusu unachukua mzgo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ya mapema hiiView attachment 1284391
Mkuu mbona apa naona rangi na namba umoumo zimejichanganya pamoja? Unawezaje kuplay kwa colour tu na namba tuKama unaanza nakushauri utumie royale kwasababu ina option ya kuchagua herufi pia KUNA A B C D E F
wakuu nitoeni tongo tongo...apa nacheza tu bila kuelewa kwa kujaribu...emb nielekezeni vizuri na malipo ni baada ya mda ganView attachment 1284421
Mkuu mbona apa naona rangi na namba umoumo zimejichanganya pamoja? Unawezaje kuplay kwa colour tu na namba tu
vp mkuu naweza vipi kuongeza stake kama unavoona apo mimi stake ni mia.. kwa mfano nikitaka kuanzia buku nafanyajeKwa princessbet malipo ni baada ya dakika 2 lkini kuna kuzidi pia malipo ya princessbet hayajionesh hapo kwenye salio lako mpk urefresh page yako ivo ni tofauti na parimatch parimatch malipo ni ndani ya sekunde na yanajionesha dhahiri sio lazima urefresh page
vp mkuu naweza vipi kuongeza stake kama unavoona apo mimi stake ni mia.. kwa mfano nikitaka kuanzia buku nafanyaje
Nimetoa mm mpaka mda huu mzgo upo pending dadekiKwa mtu anaecheza parimatch atafahamu hii ni salio la shingapi amabalo ndani ya mda mchache niliingiza na kuwithdraw naambatanisha picha ... na hua nakesha kwakua hua napenda kuspin zaidi usiku na asubuhView attachment 1284448View attachment 1284450
Nimetoa mm mpaka mda huu mzgo upo pending dadeki