Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani mliompa Chelsea kanuni yangu ile ile akitanguliwa biashara imeishaaaaaaaaa
Hiii kweli mkuu, chelsea ni kiazi wa mwisho kabisa akishatanguliwa hana maajabu. Naona kanji anaanza kuishughulikia mikeka yetu mapema mno...
 
Kitu pekee ninachoomba kwenye hii mechi aongezwe goli, asije haribu mambo ya over 1.5
 
Leo.nawapa man CTY, barca na liver wote WIN kuna point 2.09 naweka 20,000=40+ mwaonaje
 
wadau kwenye mechi hizo natafuta mechi moja ya uhakika yenye odds 1.40 hivi au na zaidi kidogo ili nibusti odds zangu hizo 2.....yaani kila nikimwangalia liverpool rohor haitaki kabisa......! ebu nipeni timu hapo nipate chochote kesho familia yangu ipate mboga (nyma kilo 1) inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…