Duuuu mkuu haka Kadude ni kama kanaelekea kukubali hivi
Mancity anawaangalia tuYUDAH YUKO HAPA LEO
LIV
B.DORTMUND
yOUNG BOYS
HAO WOTE SAFE OV 2.5
Hahahh imetoa mkuuGg mi naomba
Mkuu una muda gani tangia uanze ku bet?Jamani hebu toeni shule jwa ufupi jinsi ya kubet maana hizi 1.5 siju 3.75 mi sizielewi na natamni kweli haya mambo. Ila sina elimu nayo
next time gawa Mara mbili hukosi pesa mzeeWashkaji waliupinga huu mkeka ila kidogo muhindi ashke kichwa odd 136 ..View attachment 1284644
Nimekusoma Mkuunext time gawa Mara mbili hukosi pesa mzee
maswali ya msingi kwanza.....Jamani hebu toeni shule jwa ufupi jinsi ya kubet maana hizi 1.5 siju 3.75 mi sizielewi na natamni kweli haya mambo. Ila sina elimu nayo
Sifahamu chocho nilibahatisha siku moja kwa kuchagua namba ndogo tupu mfano kama 1.5 na 17.5 nachagua 1.5, nikaliwa kwa hiyo sielewi chochoteMkuu una muda gani tangia uanze ku bet?
una elewa nini kuhusu ku bet yaan nini unavijua kwa ufupi ili tuanzie hapo
Hahahh imetoa mkuu
imeisha hiyo mkuu...asiyetaka asiiamini kanuni yangu ila nimechunguza sana inafanya kaziHiii kweli mkuu, chelsea ni kiazi wa mwisho kabisa akishatanguliwa hana maajabu. Naona kanji anaanza kuishughulikia mikeka yetu mapema mno...
kama sahv mi nina karaha na sitaweza kumuelezea kuhusu bettingmaswali ya msingi kwanza.....
umejiandaaje na kufunga ndoa na muhindi??
je unaroho nyepesi au ngumu??
unaweza kuacha kutumia akiba yako ya mwisho kwa ajili ya chakula ukatupia kwa muhindi kujaribu zali?
Je simu yako huwa unaweka bundle la kutosha maana huku kama unategemea MB 50 utajutia mzee.....maana unaweza kushangaa unaweka stake kumbe bundle limekata!! yaani namaanisha simu yako iwe na uwezo wa kuwa na bundle LA kutosha all the time!!
karibu sana....Ila ujue huku kuna raha na karaha!!