Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa najiuliza cash out ni laki tatu na 60 au nimsubiri tu new castle kesho[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wadau mwenye odds za kikapu aweke hapa tutembelee nyota
 
Amkeni basket zinaendelea wale wazee wa inplay
 
aisee tu spin tu maana kwa mtaj wa buku tano ad kufika apa na c chezi kila mara na nimeanza juzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakuu tukae tu umo saiz mambo yakusubiri dakika tisini ooh mara weekend yashaisha saiz tunamzingua tu muhindi
 
Nilisuka nikaaamini kabisa hii ni pesa pesa 1.34m
Nilishare kwa mwana akasema leo anataka aende show room,, alipwe 24m meridian aisee young boys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…