Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu mi Jana nilikuwa na 50k kwenye account nikaanza kucheza rangi nyekundu tu kwa buku nilidouble zaidi ya Mara nane haikuja nikahamia nyeusi na mashine ikahamia nyekundu dakika tu sikuwa na hela
hahahaha mambo ya spin hayo
 
Halafu sio Jana tu mkuu na Leo pia imeshanitokea kama masiara hivi nimepoteza 50k nyingine labda kwenye gurudumu lako kwangu inaweza kuganda kwenye rangi moja hata Mara kumi
Mkuu ningumu sana kuzd mara tano au nne rangi haijaja pale sio mtu anaekupangia
 
Uku hatari Jana nilikua nna elfu tano tu nikachagua namba mara 3 zote IMO nikajikuta nakama 30k+ pigapiga nikafika sabini

Leo sasa ibilisi akanipanda nipige zaidi kila Niki stake high Nakula za USO mpaka sasa sina hata mtaji
 
Hahaha Mkuu me nimepigwa hadi nimechakaa.
 
Uku hatari Jana nilikua nna elfu tano tu nikachagua namba mara 3 zote IMO nikajikuta nakama 30k+ pigapiga nikafika sabini

Leo sasa ibilisi akanipanda nipige zaidi kila Niki stake high Nakula za USO mpaka sasa sina hata mtaji
Hahaaa, pamoja na kipigo lakini bado tumo. Ulevi was kubeti no mbaya sana
 
Naomba kuuliza kampuni nzuri ya kubeti basketball ni ipi hapa tz?
 
Wakuu samahanini banaa me huu mchezo nautaka kuufahamu yeyote anaye weza kunifundisha pls [emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…