Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Huu mchezo wa spin nahisi una formula flan ambayo kina Jimmy na sungusungu wanatumia..ila hawataki tu kuishare humu...mbona hata sisi tunacheza izo rangi na bado tunachakazwa!...acheni ubinafsi wakuu tupeni mbinu na sisi tushinde coz mhindi siyo ndugu yetu
duuh kweli umetishaaaa..bado sungura sasa nasubiriUnaonekana unaumia saana mkuu ... pole saanaView attachment 1285629View attachment 1285634View attachment 1285638
HUYO SUNGURA NA JIMMY HAJALA CHOCHOTE KWENYE SPIN HIZO 360K NA ZINGINE WAMESCREEN SHOT ZA WATU TENA SIKU NYINGI SANA ...WAWEKE MIAMALA WALIOTOA HIZO WIN....HAHAHAHA...MSIWAFUATE MTUSEMA POOOOOOOOO
duuh kweli umetishaaaa..bado sungura sasa nasubiri
Mkuu Nimekuja Huko KimyaMkuu nichek pm tuongee kwa cm
Hili swali sijui ni kwanini huwa halijibiwi?
Cha msingi we tupia mkeka wako hapa tukopi ukishinda na Mimi baharia nimeshinda ukishindwa ni vilevile tu mi ningekuwa najua basketball ningeweka mzgoMimi huwa natumia SofaScore na mara chache huniangusha ila ni pale tu napoamua kufuata hisia zangu mara nionapo sijapata majibu nnayoyataka mimi,,ila najivunia huwa inanipa hela ya supu..
Nafuata ka formula kangu kama hivi, unaeza kujaribu nawewe au ukatengeneza yako cha msingi ni kumpasua muhindi
View attachment 1285681View attachment 1285684
dua mtu wangu..Mungu saidia SGR yetu nirudishe kamtaji bado vituo viwili tu.
Ingependeza uonyeshe na namna unavyoitumia hiyo app kuweza kuweka ubashiri wako,,lengo ni kumpasua muhindi mkuu kama hutojali lknJana alisema na leo kasema tena,
Ni "flash score" ipo playstore
Cha msingi we tupia mkeka wako hapa tukopi ukishinda na Mimi baharia nimeshinda ukishindwa ni vilevile tu mi ningekuwa najua basketball ningeweka mzgo
Mkuu Naimba Uelezee Japo Mechi Moja Hapo Juu, Kwenye Formula Yako AsanteMimi huwa natumia SofaScore na mara chache huniangusha ila ni pale tu napoamua kufuata hisia zangu mara nionapo sijapata majibu nnayoyataka mimi,,ila najivunia huwa inanipa hela ya supu..
Nafuata ka formula kangu kama hivi, unaeza kujaribu nawewe au ukatengeneza yako cha msingi ni kumpasua muhindi
View attachment 1285681View attachment 1285684
Nmerejea baada ya likizo ya mwaka mzimaWatu wamepotea sana humu
Nakuona Master wa corners
Wee jamaa nimekuvulia kofia...salute! sana...game ya newcastle ilivyokuwa inaenda nilihisi ungepoteza...ningekuwa mimi nahisi ningechomoa mzigo mapema...you are a real gambler...big up! BroKwa machawi aroge kina jonjo nami sitaki cash outView attachment 1285454
Nmerejea baada ya likizo ya mwaka mzima
Mfano may be hiyo ya Washington vs IndianaMkuu Naimba Uelezee Japo Mechi Moja Hapo Juu, Kwenye Formula Yako Asante
Mjomba ungecash out mzigo mapema