Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Mm taratibu kupitia rangi ad muhindi aombe poo
Nilishaaga football mda sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weka app hapo mr
 
Tatizo la kampuni yenu, site yenu iko hovyo sana
 
Jitaidini kuirekebisha unakuta ina soma muda kweli mala no connection to the sever
 
Wakuu naombeni ushauri wenu
Jee niache kibarua changu ninacho tegemea elfu12 kwa siku ili nipate muda zaidi wakucheza SPIN kwani tangu juzi nimeanza mambo moto na asubuh kama ya leo nimeamka nimecheza cheza kama dakika saba nimepiga elfu hamsini(50)
Naona kibarua kinachukua muda wangu mwingi na matunda yake madgo
Ushauri wenu[emoji16][emoji16]
 
acha tu mkuu hakuna tatizo
 
acha tu kaspin mkuu
 
Mtaji wenyewe umeutoa kwenye kazi halafu eti unataka kuacha kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…