Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole sana mkuu,
 
Betting inahitaji roho ya kibandidu ukiona moyo unakuambia muue man united sasa wew nenda kinyume chake hapa asernal alikua na odds 2 akat game inaanza lakini sikutaka kumpa nilitaka mpk apandishiwe odds angalau afike walau odds 3 mara akapigwa goli moja akati wamerudi kipindi cha pili muda wote anashambuliwa nikakuta kapandishiwa odds mpk kufika 5.3 nikasema ewaaah hizi ndo odds zangu nikapanda kwa 40k nikanywa hennessy afu nikaendelea kuwaangalia ... hatimaye wanarudisha hii tunaita ngumu kumeza[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
 
This Guy[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ukimuelewa Sad Raly Na Hawa Wahuni Wengine Hutopata Tabu Kabisa.

Kinachotuponza Wote Ni Tamaaaaaaaaaaaaaa

Tuache Tamaaaaaaa

Tuache Tamaaaaaaa

Tuache Tamaaaaa

Nakupa Mfano:

Umesema Kwanza Uli Deposit 300k Ikafika 500k

Kwanini Haukutoa 300k Au 400k Yako Ukaanza Kucheza Na Faida???

Ulicheza Bila Malengo! Ulikuw Hujui Unahitaj Profit Kiasi Gani.

Na Najua Baada Ya Kufika 500k Ukapandwa Na Mzuka Ukaanza Ku Spin. kwa 10k Au 20k Wakat Plan Yako Previously Ni Stake Ya 5k Had I 3k.

SIO SPIN TU HATA FOOTBALL AU HOCKEY UKIWEZA KUZISHINDA TAMAA WEWE NI TAJIRI
 
Kabisaa mkuu "Tamaa zetu ndo znampa kanji faida"
 
SUNGURAAAAAAAA
 
Pole saana mkuu hii katika spin ni kitu cha kawaida hii tunaita *psychology affection* nafaham fika kua ulivofikisha 500k ukapanda dau zaidi ili uifikie 1m pasipo kujua discipline in rollette matter... ila pole saana
 
"ONYO LEO UEFA 80% KILA TIMU INATAKA USHINDI ILI IFUZU 16 BORA" na sio lazima ubeti UEFA tuu jamani pesa ni ile ile zaidi ya apo
nawatakia kila
kheri, tusisahau yalotokea UEFA LAST YEAR, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arsenal mpuuxi sana alishawahi kuondoka na mtaji wangu wote kabisa hivi hivi yaani
Dah! Huyuhyu arsenal Mimi mwaka Jana aliondoka na pesa ya ujenzi afu ya sister, yan kile kipgo alichopigwa kwake na crystal palace 2-3 sitokuja kukaa kusahau niliwek single bet na nilimwamin baada ya kutoka kumpa Napoli kwake 2, bora ingekuw yangu ningesahau ila vugu vugu lake aliloniachia ni family cold war [emoji23]
 
pole mkuu,ahahaha
ilikuwa tshs ngapi?
 
Hahaha yaani mpaka nimecheka kwa nguvu usiku huu mkuu uliweka stake shingapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…