digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
[emoji23][emoji23][emoji23] digba tunatofautian vpato
Nina kamilion hapa sijui nikaweke kwenye virtual.
Pole mkuu,Hii biashara unaweza kufa kwa stress tuu.. Wiki Kama mbili zimepita siku ambayo Juventus alikuwa anacheza na Sassuolo akatoa sare ya 2-2 .Niliumia sana kwa kweli sikuwa na namna maana nilipigwa laki mbili.. Alikuwa kabaki yeye tuu nipige million moja na laki tisa.sikulala siku hiyo.
Kawaida tuu mkuu ukiwaza sana hii biashara loss ndo nyingi sana kuliko profit.Pole mkuu,
Pole sana haya mambo kubet kama ni upepo tuHii biashara unaweza kufa kwa stress tuu.. Wiki Kama mbili zimepita siku ambayo Juventus alikuwa anacheza na Sassuolo akatoa sare ya 2-2 .Niliumia sana kwa kweli sikuwa na namna maana nilipigwa laki mbili.. Alikuwa kabaki yeye tuu nipige million moja na laki tisa.sikulala siku hiyo.
Hii biashara unaweza kufa kwa stress tuu.. Wiki Kama mbili zimepita siku ambayo Juventus alikuwa anacheza na Sassuolo akatoa sare ya 2-2 .Niliumia sana kwa kweli sikuwa na namna maana nilipigwa laki mbili.. Alikuwa kabaki yeye tuu nipige million moja na laki tisa.sikulala siku hiyo.
Mkuu, unaposema loose n nying kuliko win bado Mimi nakataa nakataa nakataa nakataaaa,Kawaida tuu mkuu ukiwaza sana hii biashara loss ndo nyingi sana kuliko profit.
Yataka moyo aisee. Hapo maana yake ulistake 256,000/=View attachment 1288243Daaaah aise[emoji30][emoji30]
Mkuu, unaposema loose n nying kuliko win bado Mimi nakataa nakataa nakataa nakataaaa,
Why?
Because am workin on it, Jana ilikuwa day10 to my rasearch(what if I stake) sikubet UEFA KABISAA maana jana niliogopa almost kila timu inataka won ifuzu, in research nilmpa
Chesterfield vs Yeovil over 1.5
Hertpool FT 1X
In 10 days Nina loose moja tu, bado 20days
Nianze MY JOURNEY January .
Tukijitahid kupunguza odds
Na kuangalia type of game kuzngatia pressure, naamin tutapungza vpgo almost all wakamaria duniani walibet uefa
All in All tamaa ndo inatupelekea kuloose nying
View attachment 1288246
Pole sana, muwe mnapitia historia ya michuano husika. Ajax akiwa nyumbani sijui huwa anakuwa na shida gani mkuu.Rasmi namtoa ajax kwenye biashara yangu atanitia lost aungane na wenzie akina arsenal na man u,mana izi team ata zicheze na jiwe me nitaweka jiwe
Ungetoa hata nusu shida yako ulitaka ifike milion ili ujimwambafy kwa sokaKanikombea laki nane zangu kuna pepo liliniingia nika change mfumo daaaah