Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Na kingine ukicheza gurudumu likawa linaenda kasi bila kukwama huo ndio muda wa kumla kanji ila ukiona linaenda kwa kusita sita achana nalo linakua linapanga matokeo livutie pumzi ulicheki baadae.
 

Mkuu nimekuelewa sana
 
Pole rafiki yangu,me mwenyewe wewe ndio umenifanya nihamie rasmi kwenye mchezo huu,nilikuwa napigwa sana football ila sasa hivi atleast me ninachokifanya kila hela inapoongezeka tu natoa yote na nafanyia mahitaji nabakiza mtaji tu.Unakuta asubuhi nimeanza na elfu 10 ila kufikia jioni nakuwa nimewithdraw elfu 10 zaidi ya mara tano,so mwisho wa siku hata mtaji ukipigwa wote nakuwa na faida mara 7 hadi 8,pesa nyingi kwenye hizi account inaleta tamaa ya kupata kikubwa zaidi tofauti na uhalisia,pia inakupa kujiamini na kutokuwa na uchungu nayo hivyo inapoteza umakini,all in all pole sana Boss.
 
Umesema vyema sana Mkuu
 
Hakuna kitu kigumu kwenye huu mchezo kama kustop loss, unaweza ukajikuta unastop loss zaidi ya mara 3 hapo maana yake mtaji utakuwa umepungua sana tu ndio maana unakuta mtu akishaliwa anataka arudishe tu mtaji wake ulivyokuwa ndio aache na na sio aliwe ndio aache
 
Ndivyo ulivyoelewa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…