Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ajax hapo kauua mkeka wote hajatoa GG, hajatoa OVER, hala hajawin
 
Mashine inakuletea RED RED unaweka BLACK inakuletea RED tena, unazidi kudouble BLACK, inaendelea RED kama 8. Double zako zote zinaliwa.

Anaamua kukubadilishia mapigo RED BLACK RED BLACK RED BLACK

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
ACUMMULATOR No. 1

1. UEFA
Shaktar vs Atalanta
Yellowcard: Total Under 7.5 at fulltime
Odds: 1.285

2. Uefa
Levercuzen vs JUVE
COrners: Total over 8.5 at fulltime
Odds: 1.34

3. Uefa
Zagreb vs Man City
Goal to be scored within 10 seconds after corner kick- NO
Odds: 1.25

TOTAL ODDS: 2.15
 
Muhindi kabonyeza sehem iloyoandikwa aggressive πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kunamtu alisha wahi kufafanua vizuri humu kuhusu virtual games nadhan alikua DeepPond naona awamu hii kajikausha kama hawaoni na hajasema chochote kuhusu spin

Hapo kompyuta ikisha chekechwa ni mwendo wa vipigo
 
Ule mchezo ni hatari asubuhi nmepigwa elf9 chapchap.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kupiga hela kwenye spin au michezo mingine yote ya "mchezaji against computer" ni mtihani na inaongoza kutia umasikini kuliko betting

Bet ya michezo ni mchezaji vs mechi, unaweza kufanya tathmini na ukafanya reasoning kuchagua lakini sio spin ambapo program ndio inaamua itoe vipi kulingana na ilivyokua setiwa, wewe kazi yako ni kiotea tu

Niliwa kuwa mpenzi wa Keno, nilipiga piga hela weee, kumpe inanipanga bana
Kibao kilipokuja kugeuka acha nipate vipogo vya hatari, hela niliokula ikaliwa na zingine nyingii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…