Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana nilipiga kama 28k, nikatoa mzigo nikaacha mtaji kam 8000 hiv, leo nikarudi tena mzigoni almanusura parimatch aondoke na mtaji nikafanikiwa kurudi mpaka 9600. Nimekausha kwanza... dah hawa jamaa hawatabiriki. Nilichojifunza ukiwapiga wewe chukua chako mapema.....
 
[emoji848] sungu. U The best bro, Hata kama kazichukua ila ulipo anzia na uliopokuw umefkia Umeprove You can Made it

Ila why??? .
Huu Uzi
tangu juzi tunasema tamaaa tamaa tamaaa
tamaaaa umeniangusha kiukweliiii,so Mimi tuu hata prof, Jimmy pia, ila all in all
umetupa somo kwa vitendo jinsi gani tamaaa inavyotutesa, wish u goodLuck

Please don't spin emotionally as unakisasi na kanji ili irudishe what you loose, Be normal tuliza akili as previos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Betting ya huko ndio unaweza data, maana utajikuta umepoteza muda na nguvu ulichofanya hakuna. Yaani kila ninaemdodosa kuhusu kilimo yeye ni kilio tu[emoji3][emoji3].

Kwenye maisha yetu hatujui kesho yetu. Chochote fanya kwa weredi na kujituma, mwisho subiri matokeo.
[emoji23][emoji23][emoji23] akatafute pembejeo ambapo hashindani na program za kuspin

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Thank you bro I appreciate [emoji120]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Virtual betting ni kamari ya kihuni Sana.

Unaishi maisha ya kuku,
Mchana anakula mchele, jioni analiwa na wali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…