Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeitafuta sana Hii game bt jamaa katoka nayo mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa yangu kashampa, kaweka laki moja, anasubil liverpool ashinde akachukue 1.4milion

Wakat liverpool anahizo odd 14 nilikuwa naangalia tu daa, saizii siion kabisa

Naona bookers wamesituka mpaka waone kikosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

😀😀 hiyo ni imekosewa huwez kuta kwenye kampuni zingine. Ni kampuni ipi uliiona?
 
Unajua nn mwamba...hata sijui nn kitatokea kwa maana, Astonvilla vs Liverpool carabao cup tarehe 17 na masaa 24 baadae yaani tarehe 18 wanakipiga FIFA club world cup...kwa maana yake ni kwamba livapool huenda wakalazimika kuchezesha kikosi B hiyo siku...
 
Hata iweje Liverpool sio wa kumnyima ushindi. Draw odds 8.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…