hajikagoro
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 217
- 188
Jibwaaaa
Jibwaaaa
Hii match inapigwa tarehe 17hiyo mechi inapigwa lini mkuu
Mkuu nimesema hata kama liverpool anacheza kikos b, kwa hizo odd 14walizokuwa wamempa wamekosea sanaUnajua nn mwamba...hata sijui nn kitatokea kwa maana, Astonvilla vs Liverpool carabao cup tarehe 17 na masaa 24 baadae yaani tarehe 18 wanakipiga FIFA club world cup...kwa maana yake ni kwamba livapool huenda wakalazimika kuchezesha kikosi B hiyo siku...
Wacha nipoteze 5,000 leo ... EUROPA LEAGUE all 2+
I can win 1 505K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Hofu ipo kwa hawa ...
- Copenhagen/Malmo
- Porto/Feyernoon
Good luck !
Mkongwe DeepPond naomba nijue unatumia mbinu gani ama site gani kucheki statistics wakati game zikiwa zinaendelea..
Mkuu dont loose hope niliufuata kama ulivyo but hii ni betting chochote hutokea wkt wowote
Wafate facebook watumie meseji huko watakushughulikia fastadah betpower toka juz wameniandikia ivi mimesubili matoke nimechoka nisaidieni wakuu iliyowahi kumtokea hii kitu
dah betpower toka juz wameniandikia ivi mimesubili matoke nimechoka nisaidieni wakuu iliyowahi kumtokea hii kitu
Habari za asubuhi Wakuu wa kilinge hiki.
Poleni kwa masahibu ya Europa,
Natumai mnajua ukishaweka mkeka hainaga draw, ni either win or loose.
Jamani tubeti kiwango ambacho ukipoteza hautaumia sana!!
Pili, pamoja na kwamba tunabeti pamoja hapa, kijana mwenzenu natafuta kazi jamani, naomba sana msaada wenu.
Kiufupi kuhusu mimi:
Makazi; MWANZA
Phone: 0759330110
Elimu; Bachelor's Degree in Logistics and Transport Management
Experience: worked as a supervisor for 6 months in a bakery
Worked as a logistics asisstant at coca cola Mwanza, 3 months
Skills: supervisory and management skills, ability to interract with computers especially in Ms office
Naweza fanya kazi popote kulingana na elimu yangu, especially non technical fields.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukisha log in Parimatch angalia sehemu imeandikwa "virtual games" baada ya kubofya hapo angalia option nyingi zitakuja,shuka na page hadi chini utakutana na sehemu imeandikwa