Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,819
usijari mkuu weekend hii hana bahati wewe andaa stake nitashusha Behewa la match 30
usijari mkuu weekend hii hana bahati wewe andaa stake nitashusha Behewa la match 30
kazi ya kubet mbona simple tu mkuu haina complications tafuta mtaji buku 2 anza kaziHabari za asubuhi Wakuu wa kilinge hiki.
Poleni kwa masahibu ya Europa,
Natumai mnajua ukishaweka mkeka hainaga draw, ni either win or loose.
Jamani tubeti kiwango ambacho ukipoteza hautaumia sana!!
Pili, pamoja na kwamba tunabeti pamoja hapa, kijana mwenzenu natafuta kazi jamani, naomba sana msaada wenu.
Kiufupi kuhusu mimi:
Makazi; MWANZA
Phone: 0759330110
Elimu; Bachelor's Degree in Logistics and Transport Management
Experience: worked as a supervisor for 6 months in a bakery
Worked as a logistics asisstant at coca cola Mwanza, 3 months
Skills: supervisory and management skills, ability to interract with computers especially in Ms office
Naweza fanya kazi popote kulingana na elimu yangu, especially non technical fields.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni faraja km kuona maji jangwani. Nasubiri hilo treni kwa nguvu km zoooteusijari mkuu weekend hii hana bahati wewe andaa stake nitashusha Behewa la match 30
AUSTRALIAN WBL
3Q Wafuateni kwa Over 40.5 - Odds 1.85 Meridian
View attachment 1290739
Sent from my iPhone using JamiiForums
Share link mkuuNgoja nitest zali la Basket leo: Betpawa
1. Zalgiris - Valencia FT> 149
2. Bayern Munich -BC Zenit FT >148
3. Lyon - Emporio FT>145
4. Barcelona Regal - Panathinaikos FT>162 or 1
5. BC Nokia - Helsinki Away> 84
6. Anwil - King wik FT (1)
7. AEK Athens - Aris Thes FT> 148
8. Sordertaje - Jamtland FT (2) / Away> 79
9.Atlanta - Indiana FT >115 or 2
10.Chicago Bull -Charlote FT >209
11.Utah Jazz - Golden state FT >205
12. Minesota - Los Angeles Clippers FT (2)
13.Sacramento - New York knick FT >203
14. Melbourne Utd - Sydney King FT Away15.Polpharma - Rosa sport FT Away>83
Mkuu huu mchezo inabidi tuuache zaidi ya kutuingiza umaskini zaidi hakuna faida tunapata,atleast football ni reasonable kwamba unaweza kufanya analysis na ukafanikiwa,ila akili against computer ni ngumu mkuu.Me nimepukutishwa hapa 20K account inasoma sh 50 ndani ya dakika kadhaa tu.Hatimae nimeki na Vuzzz tu nimepoteza kiasi kikubwa cha pesa humu unapoteza laki 5 unampika 50k unashangilia dah
Mwisho Leo natundika daluga
View attachment 1290847
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu...nishauriMkuu naomba nikushauri
Mkuu huu mchezo inabidi tuuache zaidi ya kutuingiza umaskini zaidi hakuna faida tunapata,atleast football ni reasonable kwamba unaweza kufanya analysis na ukafanikiwa,ila akili against computer ni ngumu mkuu.Me nimepukutishwa hapa 20K account inasoma sh 50 ndani ya dakika kadhaa tu.View attachment 1290858
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa mkuu"THE JOURNEY TO THE MAGICAL OF JGB 2020" (MONTHLY RESEARCH)
Leo ni Day 12. Still Won[emoji378][emoji95]
Total Won 11,
Loose 1
Minimal profit earning per day 35,000
[emoji848]Get Ready Kanj am getting closer 18 days Remain View attachment 1290285View attachment 1290286View attachment 1290287
Mkuu, nimekufuata PMasante mkuu
Mkuu huu mchezo inabidi tuuache zaidi ya kutuingiza umaskini zaidi hakuna faida tunapata,atleast football ni reasonable kwamba unaweza kufanya analysis na ukafanikiwa,ila akili against computer ni ngumu mkuu.Me nimepukutishwa hapa 20K account inasoma sh 50 ndani ya dakika kadhaa tu.View attachment 1290858
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu unatakiwa kujiwekea strategy na rules ambazo kwa namna yoyote ile utakiwi kuzikiuka no matter umekula au umeliwa kiasi gani.Hatimae nimeki na Vuzzz tu nimepoteza kiasi kikubwa cha pesa humu unapoteza laki 5 unampika 50k unashangilia dah
Mwisho Leo natundika daluga
View attachment 1290847
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimae nimeki na Vuzzz tu nimepoteza kiasi kikubwa cha pesa humu unapoteza laki 5 unampika 50k unashangilia dah
Mwisho Leo natundika daluga
View attachment 1290847
Sent using Jamii Forums mobile app
Ice hockey Ina option hiyo kwenye kampun gani ipo? Nimeichek sportpesa hawana iyo option, mkekabet pia hawana iyo option! Wew unatumia kampun gani mkuu?Jimmy scam ni mtaalamu wa huu mchezo screen shot zake zinatia hamasa unaweza ingia ingia kichwa kichwa na kipigo kikubwa utakipata chekini pia both to score ice hockey kama una pesa ndefu hautajuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Ice hockey Ina option hiyo kwenye kampun gani ipo? Nimeichek sportpesa hawana iyo option, mkekabet pia hawana iyo option! Wew unatumia kampun gani mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app