Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna team hua naziangalia na baada yakufanya analysis nagundua makali yamepungua sikuhizi i.e PSV sijui nyie kwenu wakuu mfano wa hizo team ni zipi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…