Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kazi ya kubet mbona simple tu mkuu haina complications tafuta mtaji buku 2 anza kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nitest zali la Basket leo: Betpawa
1. Zalgiris - Valencia FT> 149
2. Bayern Munich -BC Zenit FT >148
3. Lyon - Emporio FT>145
4. Barcelona Regal - Panathinaikos FT>162 or 1
5. BC Nokia - Helsinki Away> 84
6. Anwil - King wik FT (1)
7. AEK Athens - Aris Thes FT> 148
8. Sordertaje - Jamtland FT (2) / Away> 79
9.Atlanta - Indiana FT >115 or 2
10.Chicago Bull -Charlote FT >209
11.Utah Jazz - Golden state FT >205
12. Minesota - Los Angeles Clippers FT (2)
13.Sacramento - New York knick FT >203
14. Melbourne Utd - Sydney King FT Away<94
15.Polpharma - Rosa sport FT Away>83
 
Share link mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimae nimeki na Vuzzz tu nimepoteza kiasi kikubwa cha pesa humu unapoteza laki 5 unampika 50k unashangilia dah

Mwisho Leo natundika daluga

View attachment 1290847

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu mchezo inabidi tuuache zaidi ya kutuingiza umaskini zaidi hakuna faida tunapata,atleast football ni reasonable kwamba unaweza kufanya analysis na ukafanikiwa,ila akili against computer ni ngumu mkuu.Me nimepukutishwa hapa 20K account inasoma sh 50 ndani ya dakika kadhaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jimmy scam ni mtaalamu wa huu mchezo screen shot zake zinatia hamasa unaweza ingia ingia kichwa kichwa na kipigo kikubwa utakipata chekini pia both to score ice hockey kama una pesa ndefu hautajuta
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimae nimeki na Vuzzz tu nimepoteza kiasi kikubwa cha pesa humu unapoteza laki 5 unampika 50k unashangilia dah

Mwisho Leo natundika daluga

View attachment 1290847

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu unatakiwa kujiwekea strategy na rules ambazo kwa namna yoyote ile utakiwi kuzikiuka no matter umekula au umeliwa kiasi gani.
Ukisema umfuatishe anavyotaka, mtapigana chenga mwisho wa siku utaangukia pua.
Mimi nacheza live casino la mambele huko ambapo jamaa wanakupa statistics nzuri sana ambazo unaweza kuzitumia kufanya analysis zako
 
Jimmy scam ni mtaalamu wa huu mchezo screen shot zake zinatia hamasa unaweza ingia ingia kichwa kichwa na kipigo kikubwa utakipata chekini pia both to score ice hockey kama una pesa ndefu hautajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Ice hockey Ina option hiyo kwenye kampun gani ipo? Nimeichek sportpesa hawana iyo option, mkekabet pia hawana iyo option! Wew unatumia kampun gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…