boom au hamkuufata wazee ?
Ni kweli mkuu upo right...Habarini wanauzi... ipo hivi nimeona watu wengi wakiulalamikia mchezo wa spin, kua ni kuliwa na kupoteza sekunde kadhaa yah ni kweli ipo ivo kama tu utaingia kichwa kichwa. We hebu tazama mtu ndo mara yake ya kwanza kucheza spin afu anaanza kucheza namba no no no nooo utaloose tu na utakuja jukwaani kulia na kuona spin ni utapeli.. Nilisema kwamba kama ndo unaanza jaribu kucheza rangi ili upate uzoefu lakini watu ni wakaidi ni wakina toto iddi [emoji3], anyway nataka kusema kwamba mchezo wa spin ni mchezo wa analysis na ukiweza hapa basi haitakusumbua kabisa pia kitu kingine spin inahitaji nidhamu ya hali ya juu ili usipoteze la mwisho strategy ni kitu muhimu kuliko vyote kama mimi nauwezo wa kuwin zaidi ya 100k every day on spin lakini strategy yangu ni kwamba nikiingiza 50k nikaiweka kwenye kibubu [emoji3] hata nikishinda milioni 2 basi hizo ni anasa lakini malengo yangu ni 50k per day.... OKEY NATAKA NIWAFUNDISHE MBINU INGINE KWA BIGGINERS KWAMBA KATIKA PARIMATCH KUNA SPIN ZA AINA MBILI KUNA SPIN TO WIN YAKAWAIDA NA KUNA SPIN TO WIN WITH ROYALE basi sasa achana na hiyo SPIN TO WIN ingia kwenye SPIN TO WIN WITH ROYALE hii ina option nyingi zaidi na lengo la kuwaambia mtumie SPIN TO WIN WITH ROYALE ni kwamba kuna option ya kuchagua herufi yani kwenye gurudumu kuna herufi A B C D E na F sasa basi thamani ya herufi moja au odds ya herufi moja ni 6. Sasa kama una subira na nidhamu kubwa waweza cheza herufi tano ukaacha moja mfano ukachagua herufi zako kama A B C D na E alafu ukaicha F mfano ukatia 5k kwa kila herufi means total stake itakua ni 25k na ukiwin unawin 30k means faida ni 5k sasa sidhan kama hata kwenye herufi nako mtaona ni kazi kama ukiona unaloose mpk kwenye herufi na umechagua zote tano basi mzee baba mzee mama achana na kamali..... aisee nimemwaga upupu wote hapa na strategy mpya hio sasa sitarajii pm kuulizwa tena hapo maelezo yamejitosheleza wadau wangu.... THEN THANK ME LATER.... View attachment 1291786View attachment 1291787
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wanauzi... ipo hivi nimeona watu wengi wakiulalamikia mchezo wa spin, kua ni kuliwa na kupoteza sekunde kadhaa yah ni kweli ipo ivo kama tu utaingia kichwa kichwa. We hebu tazama mtu ndo mara yake ya kwanza kucheza spin afu anaanza kucheza namba no no no nooo utaloose tu na utakuja jukwaani kulia na kuona spin ni utapeli.. Nilisema kwamba kama ndo unaanza jaribu kucheza rangi ili upate uzoefu lakini watu ni wakaidi ni wakina toto iddi [emoji3], anyway nataka kusema kwamba mchezo wa spin ni mchezo wa analysis na ukiweza hapa basi haitakusumbua kabisa pia kitu kingine spin inahitaji nidhamu ya hali ya juu ili usipoteze la mwisho strategy ni kitu muhimu kuliko vyote kama mimi nauwezo wa kuwin zaidi ya 100k every day on spin lakini strategy yangu ni kwamba nikiingiza 50k nikaiweka kwenye kibubu [emoji3] hata nikishinda milioni 2 basi hizo ni anasa lakini malengo yangu ni 50k per day.... OKEY NATAKA NIWAFUNDISHE MBINU INGINE KWA BIGGINERS KWAMBA KATIKA PARIMATCH KUNA SPIN ZA AINA MBILI KUNA SPIN TO WIN YAKAWAIDA NA KUNA SPIN TO WIN WITH ROYALE basi sasa achana na hiyo SPIN TO WIN ingia kwenye SPIN TO WIN WITH ROYALE hii ina option nyingi zaidi na lengo la kuwaambia mtumie SPIN TO WIN WITH ROYALE ni kwamba kuna option ya kuchagua herufi yani kwenye gurudumu kuna herufi A B C D E na F sasa basi thamani ya herufi moja au odds ya herufi moja ni 6. Sasa kama una subira na nidhamu kubwa waweza cheza herufi tano ukaacha moja mfano ukachagua herufi zako kama A B C D na E alafu ukaicha F mfano ukatia 5k kwa kila herufi means total stake itakua ni 25k na ukiwin unawin 30k means faida ni 5k sasa sidhan kama hata kwenye herufi nako mtaona ni kazi kama ukiona unaloose mpk kwenye herufi na umechagua zote tano basi mzee baba mzee mama achana na kamali..... aisee nimemwaga upupu wote hapa na strategy mpya hio sasa sitarajii pm kuulizwa tena hapo maelezo yamejitosheleza wadau wangu.... THEN THANK ME LATER.... View attachment 1291786View attachment 1291787
Sent using Jamii Forums mobile app
Gurudumu lipo kwenye 17, selection ipo kwenye 21 lakini umeshinda. Ahsante!
Sent from my iPhone using JamiiForums
kama ulifuata basi mambo ndo kama hivi...sijaedit jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikufuata mkuu, shukrani sana. Sio mbaya kuamka na supu kdgkama ulifuata basi mambo ndo kama hivi...sijaedit jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1291871
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hizo herufi kwa mfano ambazo unatakiwa uchague kama 5,ukikosea tu moja manake 25000 imeondoka hlf ulikula mara 1 tu ukapata faida ya 5000, bado ni hasaraInahitaji Mtaji Mnene coz ili ufikishe mara 2 ya stake yako itabidi ule mara 5 mfululizo kitu ambacho sio rahisi yani lazima Ubweke katikati ya safari ya kufikisha mara 5 na ukibweka hapo maana yake ni hasara! Na ni wajanja saana unakula mara 3, ya nne unapigwa unabweka kama jibwa koko, unaanza upya nayo unafikisha ya 4 wanakupiga kwahyo wanakutafuna taaratibu mwisho wa siku wanakuacha Empty mama£ Unabweka kama sungusungu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usipanick brother hiyo ni kawaida nime screen shot kabla haijafika mwisho sio kwamba ukila gurudumu linasimama ghafla...#Karibu ujifunze ....Nitajitahid ikifika mwisho ndio ni screenshot.Gurudumu lipo kwenye 17, selection ipo kwenye 21 lakini umeshinda. Ahsante!
Sent from my iPhone using JamiiForums