Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mdau mmoja wa hizi kampuni za kamari aliwahi kuniambia kuna wakati wakiona mambo hayaendi huwa "wanatengeneza" matokeo kwa kuwatumia watu kwa options/mchezo fulani mfano (virtual) ili kuwaaminisha watu kama wanaweza kupata pesa kwa urahisi wakicheza...ni kama matangazo..lengo uvutike uweke mzigo upigwe...
NB:Naomba nisinukuliwe vibaya...na sijataja mtu..πŸ˜‚πŸ˜‚
 


Hahaha ... kwamba "no offence", hujataja jina la kampuni/mtu
 
Kwa anayefahamu au mwenye uzoefu na fixed matches msaada kidogo hivi kweli zipo au matapeli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili uwe na uhakika wa jibu nunua hizo fixed matches halafu ongeza tena hela baada ya mechi utakua na jibu lako na hutakuwa na mashaka tena. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa anayefahamu au mwenye uzoefu na fixed matches msaada kidogo hivi kweli zipo au matapeli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia tu uelewa wako, unaona Kuna mtu anaweza kupanga kitakachotokea uwanjani ? Labda Kama wachezaji watakuwa wanakaa katikati ya uwanja kisha anatoka mchezaji mmoja na mpira kisha anaenda kwenye la upinzani akiwa pekeako. Hapa ndipo fixed match itakapotokea. Ila watu wakiwa wanakimbia uwanjani na mashabiki wapo hakuna anayejua kinachotoea dakika 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…