Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ozaaa ozaaa, odds 7 za moto hizoo💥💥💥💥

Liverpool win
Fc koln -bayer Leverkusen over 1.5
Mainz-dortmund over 1.5
Dusseldorf -RB Leipzig over 1.5
Napoli-Parma over 1.5
Sociedada -Barca over 1.5
Leicester win
Atletico madrid win
Bayern Munich-werder Bremen over 2.5
Sheffield Utd -Aston Villa over 0.5
Burnley-Newcastle over 0.5
Leeds-Cardiff over 0.5
Brentford-Fulham over 0.5

Total odds 7.25
 
Mkuu kuna wahindi wako dark web wanauza fixed za criket. Jamaa ndio biashara yao wameanzisha Hadi mashindano makubwa ya criket kule Abu Dhabi ambayo mechi zote zimepangwa kila matukio kwa script kwa hiyo hupati matokeo tu.. wanakupa kuanzia kipute kinapoanzia Hadi mwisho wake.

Ila ubaya wao wanataka watu wenye mzigo yaani wakiimpa fixed akiweka hela anamfua kanji balaa. Na unawalipa baada ya kumtamdika mhindi(bookmaker). Hawa ndio legit fixed match wa ukweli ninao wajua.

Wengine wanatoka East Europe wanafix mechi za ligi daraja la pili za German league fresh bila zongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo namba kwenye picha ya pili umezipataje,,, yaani umefanyaje kuona hot na cold numbers?
Nimeganda na red kwa kudouble stake 500..1000...2000..4000...8000..dau la mwisho 4500. Elfu 20 nlowin Jana usiku kwenye football imeondoka Leo asubuhi kwenye spin. Sio poa hill dude.
Waachien wenye utaaalmu. Hats niwe na laki Tisa si stake hata 300.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi dark web ndo nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni ela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…