Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wooon
Screenshot_20191214-174745.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau samahani kuuliza sio ujinga....hivi nikibet mechi labda ashinde barcelona na ikaenda mpaka dakika 90 akashinda 2-1 halafu zikaongezwa dakika 5 yaani 90+5 ikawa 2-2 je mkeka utakuwa umechanika??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom