soka255
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 1,860
- 1,321
chelsea ata chomekwa mda sio mref sema hawa madogo nao hawapi serious na goli
Sent using Jamii Forums mobile app
WooonInplay....
Bournemouth to score a goal
1.76View attachment 1292447
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayarichelsea ata chomekwa mda sio mref sema hawa madogo nao hawapi serious na goli
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo kwenye gurudumu hutajutia hela yako, ni mwendo wa kuchezea tairi upate hela!Leo nimepoteza akiba yangu yote kwenye kubeti yaani mpaka najuta sina hata mia ya kunywa chai nyie mnaokula mnabeti VP wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
UONGO MTAKATIFU Dark web sawa ila eti wana ligi yao huo uongoMkuu kuna wahindi wako dark web wanauza fixed za criket. Jamaa ndio biashara yao wameanzisha Hadi mashindano makubwa ya criket kule Abu Dhabi ambayo mechi zote zimepangwa kila matukio kwa script kwa hiyo hupati matokeo tu.. wanakupa kuanzia kipute kinapoanzia Hadi mwisho wake.
Ila ubaya wao wanataka watu wenye mzigo yaani wakiimpa fixed akiweka hela anamfua kanji balaa. Na unawalipa baada ya kumtamdika mhindi(bookmaker). Hawa ndio legit fixed match wa ukweli ninao wajua.
Wengine wanatoka East Europe wanafix mechi za ligi daraja la pili za German league fresh bila zongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
***BET WOON***Inplay
Bundesliga
Bayern vs Bremen
Bayern will take the 6th corner
Odds: 1.42
Sent using Jamii Forums mobile app
****BET WOON***Inplay
Epl
Chelsea vs bourna
No goal will be scored up to 54th minutes.
Odds: 1.38
Sent using Jamii Forums mobile app
**BEt WOOON***Inplay
Laliga
Sociadad vs Barca
Goal kick firsthalf: sociadad over 2.5
Odds: 1.65
Sent using Jamii Forums mobile app
****Bet WOON***Inplay
Bundesliga
Bayern vs Bremen
Fouls handicap: Bremen (+2.5) win at full-time
Odds: 1.52
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajira zimekuwa ngumu tumeshatembeza bahasha mpaka tumechoka tumeamuwa kujiajiri huku
jamaa mchawi aisee nikajua leceister atakuwepo hapa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 1292113
Sent using Jamii Forums mobile app