Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu kuna wahindi wako dark web wanauza fixed za criket. Jamaa ndio biashara yao wameanzisha Hadi mashindano makubwa ya criket kule Abu Dhabi ambayo mechi zote zimepangwa kila matukio kwa script kwa hiyo hupati matokeo tu.. wanakupa kuanzia kipute kinapoanzia Hadi mwisho wake.

Ila ubaya wao wanataka watu wenye mzigo yaani wakiimpa fixed akiweka hela anamfua kanji balaa. Na unawalipa baada ya kumtamdika mhindi(bookmaker). Hawa ndio legit fixed match wa ukweli ninao wajua.

Wengine wanatoka East Europe wanafix mechi za ligi daraja la pili za German league fresh bila zongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
yeah nawajua hao wanyama..no zao mojja inaishia na 76 nyingine 35..halaf wanadeal na cricket,tennis..volleyball..na mpira ticket moja kwa wiki...saivi wanadeal na cricket upande wa mnzansi super league..bpl ya bangladesh with full script session game innaanza mpaka mwisho..ni inplay fixed info......NB;kuna baadhi ya losers watabisha,,so vitu vingine ata usiwe unasema
 
In play
Turkey
Galatasaray vs ankaragucu

Total under 0.5 goals from 40th minute to 49th minute of the match

Odds: 1.49

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ozaaa ozaaa, odds 7 za moto hizoo💥💥💥💥

Liverpool win
Fc koln -bayer Leverkusen over 1.5
Mainz-dortmund over 1.5
Dusseldorf -RB Leipzig over 1.5
Napoli-Parma over 1.5
Sociedada -Barca over 1.5
Leicester win
Atletico madrid win
Bayern Munich-werder Bremen over 2.5
Sheffield Utd -Aston Villa over 0.5
Burnley-Newcastle over 0.5
Leeds-Cardiff over 0.5
Brentford-Fulham over 0.5

Total odds 7.25
Bet Lost, kanji endelea kuninyoosha baba, Leo umesepa na 20k hivihiv...
 
Back
Top Bottom